- Thread starter
- #141
Sijaforce kama Ningeforce Nisingekupa Maandiko na Ushahidi ambazo zipo Hadi biblia ila WEWE hujali unabisha Tu. Maana Yake WEWE ndio umepotokaNapingana na hekaya kwa sababu ni uongo.
Mnafosi hizo hadithi zenu za Biblia zionekane ukweli kumbe ni UONGO
Nimesema Mungu ndio CHANZO..maana Yake Ulimwengu umetoka Kwake Kila Jambo Unaloliona Lipo Ni Kwa Sababu Yeye Ndie Amelifanya Liwepo.Hii ndio special pleading fallacy yenyewe unafanya hapa.
Unafosi kwamba Mungu hana chanzo, halafu hapohapo unalazimisha ulimwengu uwe na chanzo.
Kama Mungu hana na haihitaji chanzo hata ulimwengu hauna chanzo na hauhitaji chanzo.
Sasa wewe unataka kufosi tu Mungu asiwe na chanzo ila ulimwengu uwe na chanzo.
The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.
It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason
Sasa Ww kusema Kwamba Kila Kitu Lazima Kiwe na Chanzo Basi Ww ndio Umepotoka MUNGU hana Chanzo na Alishasema YEYE ndio MWANZO NA MWISHO(ALFA AND OMEGA)..
Hata kama Unalazimisha kila Chanzo lazima Kiwe na Chanzo , na Chanzo lazima Kiwe na Chanzo maana Yake Hii Dunia Isingekuwa Na Watu Bil 7 ingekuwa na Infinity People..
Dunia imeanza kuongezeka Watu taratibu maana Yake Kulikuwa na watu wanaoongezeka Kila Siku hii inaamana Walikuwepo waanzilishi.. Kama Leo wapo bil 7 maana yake Walikuwa 100 na kama Walikuwepoo 100 basi walikuwepo 10 na kama Walikuwepo kumi basi walikuwepo wawili 2..
Wewe kusema chanzo lazima kiwe na chanzo maana Hata Hao wawili waliokuwepo wangekuwwa na Wawili nyuma yake...na hao pia Wangekuwa na Wawili nyuma.. Hii dunia ingekuwa na INFINITY PEOPLE