Ok Tutoke kwenye Mungu je Huoni Hata Hoja zako zinapingana na Sayansi ya Sasa Mnayoiamini
Kusema ulimwengu, milima, na maji vimekuwepo milele bila chanzo kunapingana na elimu ya kisasa ya Cosmology,Uthibitisho mkubwa wa kisayansi, ikiwemo nadharia ya Big Bang, unaonyesha kuwa ulimwengu una umri wake (takriban miaka bilioni 13.8) na ulianza kutoka hatua moja ndogo sana (singularity). Kama ulimwengu una mwanzo, basi una chanzo kilichosababisha uanze kuwepo..Vitu vya asili kama milima na maji vinabadilika (maji yanavuka, milima inamomonyoka). Kitu chochote kinachobadilika kiko chini ya sheria ya muda na nafasi, kumaanisha hakiwezi kuwa cha milele bila mwanzo wala mwisho.
Sasa WEWE unaamini Nini ? Maana Kila Unachoamini wewe Kinaenda Kinyume na Wewe
Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo chanzo.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.
Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi. Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.
If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.
Hii inaitwa infinite regress of causes.
An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever.
There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
Hii ya kusema ulimwengu lazima uwe na chanzo halafu unafosi kwamba Mungu hana chanzo ni kufanya logical fallacy inaitwa
special pleading fallacy.
The special pleading fallacy occurs when someone applies a general rule or standard to everyone else, but carves out an unjustified exception for themselves, their group, or their favorite belief.
The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.
It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.