- Thread starter
- #81
Mungu ni Mmoja Tu ila Miungu ni Wengi sana...Vitabu vinavyo daiwa na kuaminiwa kwamba ni vya Mungu ni vingi sana.
Kuna hiyo Biblia yenu. Ninyi wakristo.
Kuna Quran ya waislamu.
Kuna Torah ya wayahudi.
Kuna Tripitaka ya wabudha.
Kuna The Vedas ya wahindu.
Kuna The Kojik ya washinto kule Japan.
Kuna The Guru Granth Sahib ya wasikhism.
Kuna Rastafar Bible ya Rastafarians.
Sasa wewe unathibitishaje kwamba Biblia yako tu ndilo neno la Mungu?
Wakati kuna maandiko mengi tu yanayo aminiwa kwamba ni ya Mungu.
Au unatetea Biblia tu, kwa vile ndivyo ulivyo kariri na kuaminishwa?
Na Kama Unataka Kujua Hilo Waambie Hao miungu wengine Uliowataja Wafanye Yale Ambayo Mungu ninayemwamni mimi ameyafanya .. Niambie Hiyo mungu Mingine imefanya Nini? Imefanya miujiza Gani? Imefufua nini? Imewaokoa Watu gani!?
Au ni miUNGU mfu isiyoweza Kuongea
Mungu ninayemwamnini Mm ndio Huyo wa Israel na Mungu Muumba Wa Yote na Ndie aliyejitambulisha Hivyo kwa Mababu zetu.. Hao wengine Siwajui uliowasema na Kama Wana Jambo kumshinda Huyu Ninaye Mwamnini Basi Lilete tuone Nani Ni MUNGU mkuu