Sijaforce kama Ningeforce Nisingekupa Maandiko na Ushahidi ambazo zipo Hadi biblia ila WEWE hujali unabisha Tu. Maana Yake WEWE ndio umepotokaNapingana na hekaya kwa sababu ni uongo.
Mnafosi hizo hadithi zenu za Biblia zionekane ukweli kumbe ni UONGO
Nimesema Mungu ndio CHANZO..maana Yake Ulimwengu umetoka Kwake Kila Jambo Unaloliona Lipo Ni Kwa Sababu Yeye Ndie Amelifanya Liwepo.Hii ndio special pleading fallacy yenyewe unafanya hapa.
Unafosi kwamba Mungu hana chanzo, halafu hapohapo unalazimisha ulimwengu uwe na chanzo.
Kama Mungu hana na haihitaji chanzo hata ulimwengu hauna chanzo na hauhitaji chanzo.
Sasa wewe unataka kufosi tu Mungu asiwe na chanzo ila ulimwengu uwe na chanzo.
The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.
It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason
Huyo Mungu angekuwepo hata haya mabishano yasingekuwepo.Ni hadithi Kivipi wakati Ushahidi upo!
1.Mabaki ya Historia yapo
2. Hekalu la Yerusalemu alilolitumia Mungu Kuta zake Zipo
3. Wana Historia wameandika YESU alikuwepo
Kuendelea kusema Ni UONGO maana Yake Wewe ndio Umepotoka na Moyo wako Mgumu ila Kuna Siku Utakiri kwamba Mungu ni Mkuu na YUPO.. Yaani Hauna Tofauti na Mtu anayebisha Kwamba NYERERE hakuwepo ni Hadithi tu wakati kila Kitu ushapewa na Ushhidi hata Nje ya Biblia
Hakuna Mungu.Sijaforce kama Ningeforce Nisingekupa Maandiko na Ushahidi ambazo zipo Hadi biblia ila WEWE hujali unabisha Tu. Maana Yake WEWE ndio umepotoka
Nimesema Mungu ndio CHANZO..maana Yake Ulimwengu umetoka Kwake Kila Jambo Unaloliona Lipo Ni Kwa Sababu Yeye Ndie Amelifanya Liwepo.
Sasa Ww kusema Kwamba Kila Kitu Lazima Kiwe na Chanzo Basi Ww ndio Umepotoka MUNGU hana Chanzo na Alishasema YEYE ndio MWANZO NA MWISHO(ALFA AND OMEGA)..
Hata kama Unalazimisha kila Chanzo lazima Kiwe na Chanzo , na Chanzo lazima Kiwe na Chanzo maana Yake Hii Dunia Isingekuwa Na Watu Bil 7 ingekuwa na Infinity People..
Dunia imeanza kuongezeka Watu taratibu maana Yake Kulikuwa na watu wanaoongezeka Kila Siku hii inaamana Walikuwepo waanzilishi.. Kama Leo wapo bil 7 maana yake Walikuwa 100 na kama Walikuwepoo 100 basi walikuwepo 10 na kama Walikuwepo kumi basi walikuwepo wawili 2..
Wewe kusema chanzo lazima kiwe na chanzo maana Hata Hao wawili waliokuwepo wangekuwwa na Wawili.. Hii dunia ingekuwa na INFINITY PEOPLE
Unataka Yeye aje mwenyewe Ajitetee!!? wala Mimi Simtetei hawezi tegemea Kutetewa na Binadamu kama Mimi. Kama aliumba Ulimwengu Bila Mimi Kuwepo sidhani kama Ananihitaji Mimi Nimtetea Kwako.. Ninachoandika Ni ili ww ujue YUPOHakuna Mungu.
Kwanza wewe ndio unahangaika kumtetea hapa.
Huyo Mungu kama yupo, aje yeye mwenyewe kujitetea kama ana huo uwezo.
Sio wewe umtetee.
Sibishani Labda Wewe ndio Unayebisha .. Maana Mm nina uhakika Na Ninachoongea Ila Wewe usiyekuwa na Uhakika wa uwepo wake Ndio Unabisha.. Mimi Nimekuletea Ushahidi wa Uwepo wake ila wewe🫵 unaukataa. Maana Yake umekaa upande wa kubisha na Kukataa..Huyo Mungu angekuwepo hata haya mabishano yasingekuwepo.
SijapumbazwaWewe unadai Yesu ni Mungu kwa vile ndivyo ulivyo pumbazwa kuamini hivyo.
Yeye Aamini Awezavyo Ili Kujua Mungu Yupi ni Mkuu tunaangalia Matendo ya Mungu Huyo ..kama atasema Allah ni Mungu Basi Tutampa Allah Test kama Eliya alivyowapa TEST miungu ya Bezebel. Waliposema miungi yao ni Mikubwa kuliko Mungu wake alileta Ng'ombe wawili na Akassma Kama miungu Yenu ni Mikubwa basi Ishushe Moto kutoka Juu na Iteketeze Sadaka Hii ya Ng'ombe na Ikashindwa. Ila Mungu wa Eliya alishusha Moto na Ukatekeza Sadaka ya Ng'ombe .. Kwahiyo Tutapima kwa Matendo ya Mungu Husika hata Wakisema wewe Infropreneur ni mungu Tutakupima piaMuislamu naye atadai Allah ni Mungu kwa vile ndivyo alivyo pumbazwa kuamini hivyo.
Yeye Aamini Awezavyo Ili Kujua Mungu Yupi ni Mkuu tunaangalia Matendo ya Mungu Huyo ..kama atasema Allah ni Mungu Basi Tutampa Allah Test kama Eliya alivyowapa TEST miungu ya Bezebel. Waliposema miungi yao ni Mikubwa kuliko Mungu wake alileta Ng'ombe wawili na Akassma Kama miungu Yenu ni Mikubwa basi Ishushe Moto kutoka Juu na Iteketeze Sadaka Hii ya Ng'ombe na Ikashindwa. Ila Mungu wa Eliya alishusha Moto na Ukatekeza Sadaka ya Ng'ombe .. Kwahiyo Tutapima kwa Matendo ya Mungu Husika hata Wakisema wewe Infropreneur ni mungu Tutakupima piaMgiriki nae atadai Zeus ndio Mungu kwa vile ndio imani yake.
Kusema Hayupo HAINA maana HAYUPOHakuna Mungu.
Mungu hayupo.
Hakuna Mungu.Sijaforce kama Ningeforce Nisingekupa Maandiko na Ushahidi ambazo zipo Hadi biblia ila WEWE hujali unabisha Tu. Maana Yake WEWE ndio umepotoka
Nimesema Mungu ndio CHANZO..maana Yake Ulimwengu umetoka Kwake Kila Jambo Unaloliona Lipo Ni Kwa Sababu Yeye Ndie Amelifanya Liwepo.
Sasa Ww kusema Kwamba Kila Kitu Lazima Kiwe na Chanzo Basi Ww ndio Umepotoka MUNGU hana Chanzo na Alishasema YEYE ndio MWANZO NA MWISHO(ALFA AND OMEGA)..
Hata kama Unalazimisha kila Chanzo lazima Kiwe na Chanzo , na Chanzo lazima Kiwe na Chanzo maana Yake Hii Dunia Isingekuwa Na Watu Bil 7 ingekuwa na Infinity People..
Dunia imeanza kuongezeka Watu taratibu maana Yake Kulikuwa na watu wanaoongezeka Kila Siku hii inaamana Walikuwepo waanzilishi.. Kama Leo wapo bil 7 maana yake Walikuwa 100 na kama Walikuwepoo 100 basi walikuwepo 10 na kama Walikuwepo kumi basi walikuwepo wawili 2..
Wewe kusema chanzo lazima kiwe na chanzo maana Hata Hao wawili waliokuwepo wangekuwwa na Wawili.. Hii dunia ingekuwa na INFINITY PEOPLE
Kama humtetei unachofanya ni nini hapa?Unataka Yeye aje mwenyewe Ajitetee!!? wala Mimi Simtetei hawezi tegemea Kutetewa na Binadamu kama Mimi. Kama aliumba Ulimwengu Bila Mimi Kuwepo sidhani kama Ananihitaji Mimi Nimtetea Kwako.. Ninachoandika Ni ili ww ujue YUPO
Nilikuambia Jambo Hili Siku moja Atakuja Na Utajua Kuwa yeye ni MUNGU mkuu na Hana MWANZO WALA MWISHO. Hata Kuja Kwa Mwili wa Nyama kama Unavyotaka Wewe Na anapenda Watu wenye Mioyo Migumu kma Wewe ili Ujue kuwa Yeye ni Mkuu
Nakwambia hivi, huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo.Sibishani Labda Wewe ndio Unayebisha .. Maana Mm nina uhakika Na Ninachoongea Ila Wewe usiyekuwa na Uhakika wa uwepo wake Ndio Unabisha.. Mimi Nimekuletea Ushahidi wa Uwepo wake ila wewe🫵 unaukataa. Maana Yake umekaa upande wa kubisha na Kukataa
Sijapumbazwa
Yeye Aamini Awezavyo Ili Kujua Mungu Yupi ni Mkuu tunaangalia Matendo ya Mungu Huyo ..kama atasema Allah ni Mungu Basi Tutampa Allah Test kama Eliya alivyowapa TEST miungu ya Bezebel. Waliposema miungi yao ni Mikubwa kuliko Mungu wake alileta Ng'ombe wawili na Akassma Kama miungu Yenu ni Mikubwa basi Ishushe Moto kutoka Juu na Iteketeze Sadaka Hii ya Ng'ombe na Ikashindwa. Ila Mungu wa Eliya alishusha Moto na Ukatekeza Sadaka ya Ng'ombe .. Kwahiyo Tutapima kwa Matendo ya Mungu Husika hata Wakisema wewe Infropreneur ni mungu Tutakupima pia

Kusema Hayupo HAINA maana HAYUPO
SAWA Infopreneur. Mimi Nimekuambia YUPO na Ushahidi wangu nikautoa lakini Wewe umekataa maneno yangu na Ushahidi wangu. Basi Sawa SIku Itafika Na Utajua Kuwa Mungu Yupo na Ni Mkuu sana. Mimi Nakuombea Ili atakapo jidhirisha Kwako Usisahau Maneno yangu.Nakwambia hivi, huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo.
Sawa. Ataandika Tu Siku moja na Hata andika Hapa JF ataandika Moyoni mwako kwamba Yupo na Utakuwa Unasoma Maandiko yake kila Siku.. Kama Aliweza Andika Amri zake Kumi juu ya Vibao na Kumpa Musa na Kama Aliweza Andika Kwenye Ukuta wa Mfalme wa Babylon na Eliya Akatafsiri maneno yale basi Usijali..Kama humtetei unachofanya ni nini hapa?
Kama yupo, unaandika nini ili nijue yupo?
Angekuwepo wala usingehitaji kuandika.
Mungu Hayupo, ndio maana unahangaika kuandika paragraphs ndefu kumuelezea na kumtetea.
Bado ni wewe tu,unahangaika kumtetea na kumuelezea hapa.Sawa. Ataandika Tu Siku moja na Hata andika Hapa JF ataandika Moyoni mwako kwamba Yupo na Utakuwa Unasoma Maandiko yake kila Siku.. Kama Aliweza Andika Amri zake Kumi juu ya Vibao na Kumpa Musa na Kama Aliweza Andika Kwenye Ukuta wa Mfalme wa Babylon na Eliya Akatafsiri maneno yale basi Usijali..
Ataandika Moyoni mwako na Utasoma alichoandika Maana Yeye ni Mungu Mkuu na ulichoomba Atakupatia..
Sihitaji wewe uniambie Mungu huyo yupo.SAWA Infopreneur. Mimi Nimekuambia YUPO na Ushahidi wangu nikautoa lakini Wewe umekataa maneno yangu na Ushahidi wangu. Basi Sawa SIku Itafika Na Utajua Kuwa Mungu Yupo na Ni Mkuu sana. Mimi Nakuombea Ili atakapo jidhirisha Kwako Usisahau Maneno yangu.
Sawa msubiri atakujibuBado ni wewe tu,unahangaika kumtetea na kumuelezea hapa.
Bado huyo Mungu hawezi kuja mwenyewe kujitetea na kujielezea.
Kwa sababu hayupo.
Na ndio maana mabishano haya hayaishi na yapo miaka na miaka.
Sihitaji wewe uniambie Mungu yupo. Huyo Mungu aje yeye mwenyewe kujitetea na kudhihirisha uwepo wake.
Sawa msubiri AtakujibuSihitaji wewe uniambie Mungu huyo yupo.
Huyo Mungu aje yeye mwenyewe kudhihirisha uwepo wake, kama ana huo uwezo.
Hawezi kunijibu kwa sababu hayupo.Sawa msubiri atakujibu
Sawa msubiri Atakujibu