Binadamu Kuna muda dish linayumba, mpaka Sasa nawaza!!

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah, lakini Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa nina pesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu, nimegunduaa wakati naandika hii comment huenda akili zilikuwa zimefyatuka kidogo, mpaka sasa nawaza hivi mim ndio niliandika haya.

 
Duuh Tajiri hutaki kutoa hela ya chai
 
 
πŸ˜‚ msaidie mwenzako tajiri ya mboka acha uchoyo.
 
Mpe hela ya chai
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kwamba huna kyokyote au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…