Binadamu Kuna muda dish linayumba, mpaka Sasa nawaza!!

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah, lakini Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa nina pesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu, nimegunduaa wakati naandika hii comment huenda akili zilikuwa zimefyatuka kidogo, mpaka sasa nawaza hivi mim ndio niliandika haya.

JamiiForums-163920592.jpg
 
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah ,lakin Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa ninapesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu ,nimegunduaa wakati naandika hii comment huenda akili zilikuwa zimefyatuka kidogo , mpaka sasa nawaza hivi mim ndio niliandika haya [emoji38]View attachment 2745381
Duuh Tajiri hutaki kutoa hela ya chai
 
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah ,lakin Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa ninapesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu ,nimegunduaa wakati naandika hii comment huenda akili zilikuwa zimefyatuka kidogo , mpaka sasa nawaza hivi mim ndio niliandika haya [emoji38]View attachment 2745381
F4SSMmlWEAA3FKw.jpeg
 
😂 msaidie mwenzako tajiri ya mboka acha uchoyo.
 
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah ,lakin Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa ninapesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu ,nimegunduaa wakati naandika hii comment huenda akili zilikuwa zimefyatuka kidogo , mpaka sasa nawaza hivi mim ndio niliandika haya [emoji38]View attachment 2745381
Mpe hela ya chai
 
😆😆😆 kwamba huna kyokyote au??
 
Back
Top Bottom