Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah, lakini Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa nina pesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu, nimegunduaa wakati naandika hii comment huenda akili zilikuwa zimefyatuka kidogo, mpaka sasa nawaza hivi mim ndio niliandika haya.