Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Jogoo pamoja na mbwembwe zote hizo za kulisha sijui mitetea, lakini mwisho wa siku anaishia kuliwa...
Koko Wala wenziooo,Koko nawe utaliwa🎵🎵🎼🎼......dunia ngumu sana
 
Nanyi wanawake muige mfano wa kuku na vifaranga wake, anashughilika mwenyewe kuwalisha na jogoo mzalishaji hana habari. Mama kuku anashuhidia jogoo anamfukuza mtetea na wala haulizi wala hana wivu.
Eeeeeh hapo Tena maji marefu.
 
Kama mnataka tumuige jogoo, basi kubalini tumuige kwa vyote. Sio tukipiga kimoja cha sekunde 15,alaf tukalala, muanze kulalamika
 
Nyie dada zetu lakini kwa ndumba siku hizi ni balaaa.....waganga wanajilia tuu
Hiyo unaitwa Ndumba na Ngai......Kama wewe inabidi nimshauri unique flower akutulize maana husikii wewe!
 
Naona mfano wako unakuletea majanga wee mwenyewe🤣🤣🤣🤣 ndio mpambane sasa na muwache wivu watu tujilie warembo
Mmmh hapa kaniweza hakika!
 
Kama mnataka tumuige jogoo, basi kubalini tumuige kwa vyote. Sio tukipiga kimoja cha sekunde 15,alaf tukalala, muanze kulalamika
Eeh hapo itabidi mkaze kidogo,maana hizo stress za kuachwa pale lango na marangu bila kufika kibo zitatumaliza aisee
 
Jogoo nae anayo nature ya kuhonga ili ampate mtetea kwa mfano jogoo anayo punje moja tu ya nafaka mdomoni atatoa sauti ko! ko! ko! ya kumwita mtetea mtetea akishafika jogoo anampa ile nafaka afu mtetea anachakatwa kilaini [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…