Binadamu tunakula chakula kingi kuliko mahitaji ya mwili

Kuna chakula ukimlisha mtu huku kwetu anaweza kuhisi ulikuwa unatania maana sisi wakulima tunakula chakula kinacho tufanya mwili uwe na nguvu
 
Hahahahha huyo ana wenzake mwilini[emoji23] [emoji23] ndoo ndogo ya ugali ahaha saaaaalalee
 
unavyoambiwa mizizi co mizizi unayoina kwenye miti..mizizi maana yake viazi,mihogo nk
sasa unachukulia poa huo msosi.....
et unataka mwanaume ashindie yai na kipande cha tango..hiyo wapelekee wakina kalisa noel
 
Kwa lugha ya kawaidi huyu sio "Mwanadamu wa kawaida" na anastahili kufanywa awe kivutio cha watalii wa ndani na nje!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nitakuwa wa mwisho kuamini hii stori
 
Ninakaa na dogo tu hapo home. Jion nilitaka tupike robo kilo tu ya mchele ili kuendana na alichosema daktari
mtakodoleana macho kwenye hot pot.

huyu daktari wako wanaanzaga kula huko mitaani vitu vingi akija nyumbani anawaigizia na kula vimayai viwili ukimfata unakufa njaa.
 
mtakodoleana macho kwenye hot pot.

huyu daktari wako wanaanzaga kula huko mitaani vitu vingi akija nyumbani anawaigizia na kula vimayai viwili ukimfata unakufa njaa.
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji1][emoji23][emoji2]
sawa daud
 
Mmh kwa huo mlo kiduchu aisee nguvu za yale mambo yetu sahau kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…