The Socrates
Member
- Jan 2, 2025
- 6
- 9
Ivi binadamu tungekuwa na maisha ya milele bila kifo ingekuwaje??
mfano miaka 2000 hivi au 1000. Ndio hivo tuanze kuhamia huko mars na kwingineko huku kushajaaa tiyariIvi binadamu tungekuwa na maisha ya milele bila kifo ingekuwaje??
Alafu baadhi ya vitu vikatoweka pia magonjwa kama cancer, au matatizo ya afya akili, umaskini kupindukia n.k, sidhani kama kuna mtu anataka kuwa maumivu ya cancer kwa miaka 2000, wakati mwingine kifo ni kama escape ya matatizo ya dunianiIvi binadamu tungekuwa na maisha ya milele bila kifo ingekuwaje??
Sio tu kama tungekuwa na maisha ya milele,ila ni iwapo tu tungebahatika kujua maisha yangu ni miaka ishirini pekee,je kama tungeweza kila wakati kuamua maisha yametosha au nahitaji kuongeza muda wa kuishi?Dunia ingekuwa chungu kuliko chochote.Ivi binadamu tungekuwa na maisha ya milele bila kifo ingekuwaje??