Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
Hii movie inaitwaje?
 
shetani atawadanganya mpaka lini! hakuna kiumbe chochote kinacho ishi nje ya dunia hii! nakwambia tena na ninazungunza tena, hakuna kiumbe chochote kinacho ishi nnje na dunia hii!!! isipokuwa majini,mashetani mapepo na nguvu za kila aina za shetani,... huwo ndio ukweli!
 
Mkuu ukienda jupiter naomba unipitie hapa kimara mwisho, nishanunua begi, blanket na jacket mana naskia kuna baridi sana
 
Back
Top Bottom