Chemtrail
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 827
- 442
Huu ni uwongo wa wazi.Jupiter haiwezi ku-support life kwa kuwa hakunaKatika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
ardhi and therefore no water.Sayari hii ni gaseous,sasa hao watu watakuwa wanaelea.Acha kudanganya watu wewe.