Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
14238324_2201307333341518_6680420878829166101_n.jpg
 
Du mleta mada unadanganya mpaka unatisha, au ni kick za kuongeza start thread? uwe unaweka link
 
Back
Top Bottom