Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].

Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.

Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.

HII NDO JUPITER
View attachment 401458
AF mbona white people tu, akina Mimi wapo kwel au ngoz nyeusi hawez kutotolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mkuu umenimalizia 20kb zangu Kwa huu upuuzi.. Poor u
 
Hapa ndo huwa namkumbuka Mr. Ebo

Wazazi ya zamani nadanganya, wazazi ya zamani ilitutenga....na uzushi na maneno mbofumbofu
 
Mbona wametoka kwenye mayai wakiwa na nguo ,

alafu mbona hakuna muafrika ?

Hao wapo zao beach tu
 
Back
Top Bottom