Binafsi, nampongeza Rais Samia kwa haya

Binafsi, nampongeza Rais Samia kwa haya

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,052
Reaction score
2,995
Binadamu tumama pungufu yetu na mapungufu hayo ndiyo yaliyo mzaa wingi na wingi ikamzaa ushauri ushauri aka kaa kwa kila mtu nahapo ndipo ika onekana thamani ya kila mtu

Kwamba ninapo shindwa Mimi kwenye Jambo gumu ambalo kwangu ni gumu ntalazimika kumtafuta mtu mwenye ujuzi wa Hilo Jambo

Kuna wataaramu wa elimu za Giza,Nuru,nyota,alidhi,mimea,umeme,misitu,nk lakini yote haya mungu ameya fanya kwa lengo Moja tu kwamba tutegemeane

Kutegemeana huko ndiyo kula yetu sote

una PhD lakini kiatu Kiki katika utamtafuta Sudi pale kijiweni akushonee umpe Hera aishi

Una degrees lakini ukilogwa utamtafuta
gubi gubi,mshana, au lakshimish, pale akupe tiba au ushauri Maisha Yana songa mbele
Kwa namna hiyo mwisho wasiku kila mmoja anapata mkate.

Niende moja kwa Moja kwenyelengo. Kwamba smaia ni binadamu pia nimama anamapu gufu yake lakini Ana mema yake mengi japo wanasema

UBAYA huvuma kuliko WEMA

Binafsi nimeweka pembeni mabaya yake nikaanza kumchunguza kwa mema yake nikaya ona na haya machache

Na kwasababu Kama kulivyo na haki ya kukosoa Basi Kuna haki ya kupongeza pia

Basi Mimi nikachagua kupongeza kwa haya aliyo yatenda raisi wangu dct Samia

1)kwa kuwaambia polisi wasimkamate mtuhumiwa kabla hawaja pata ushahidi badara yake watafute ushahidi Kwanza ndipo wamkamate aliye kuwa anahisiwa kuwa mtuhumiwa

Lakini kumkamata mtu akasotea jera Kama mahabusu Kisha baadae anaonekana Hana hatia Ana achiwa Tena bila fidia yoyote

she said no🙏🙏🙏

2)nilile swala la kwamba mtu kapata ajari badala apelekwe hospital Kwanza apate huduma ilikuwa lazima ufike polisi upewe pf3 ndipo uende hospital mwisho wa siku watu walifia vituo vya polisi"

she said no🙏🙏🙏

3)Uhuru wa vyombo vya habari hapo nyuma Hali ilikuwa ngumu ilikuwa lazima kusifu na kutukuza
Kinyume na hapo wanaku ROMA au kuku TUNDULISU

Lakini Sasa hivi ruksa SWALA kumshika SIMBA sharubu nasimba Hana shida"

au kukata mauno mbele ya MPEMBA au MMOMBASA Kisha MMOMBASA anakuambia nimeokoka na mpenda yesu nipishe shetani" na maisha yanendelea.
Japo baadhi
wanadiliki mpaka kuutumia vibaya Uhuru huuu lakini akasema no, ruksa kukosoa kwahili pia 🙏🙏🙏

4)uzinduzi wa hatua ya Kwanza ya mladi wa bwawa la nyelele

wengi tulihisi baada ya KIFO Cha jpm hili halita tokea Tena wengi tulihisi upo upande wa mabebelu lakini umelifanya kinyume chake🙏🙏🙏

5)kumbadilisha IGP
hili nalo aliona mbaali tulipata wakati mgumu kumjua Nani alikuwa anahusika na mauwaji na utekaji na mashambulio ya risasi kwa Wana harakati mbali mbali hapa Tanzania

lakini pia wale wasio jurikana
ili Hali jeshi la polisi tunalo
na mkuu aliye kuwepo kipindi hicho hakuwajibika ipasavyo mpaka leo niswali lisilo jibika japo tuna amini aliepo huenda akatu jibu kwahili pia🙏🙏🙏

6)kuruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ukiangalia Sasa hivi bunge letu limekosa ladha wanainchi wanamengi ya kuongea akini
hayafiki bungeni

kwani bunge la Sasa nila kikao kiishe nichukue posho makofi mengi sio hoja za msingi kwa taifa letu

Lakini kitendo Cha kuruhusu mikutano hiyo itamsaidia kujua Yale yasiyo fika bungeni

lakini pia kuwajua watendaji wake waovu ndani ya serikari YAKe Kama mawaziri, wabunge,na madiwani, nk

hatimaye kuwa chukulia hatua ziwapasazo kwahili pia🙏🙏🙏

7)kwasababu si habari rasimi Basi sita omba kwa mujibu ila
Nitafurahishwa zaidi Kama utashusha rungu palee NIDA

Raisi amezunguka Sana nje kututaftia fulsa hivyo pia arahisishe Mambo ili tuzitumie hizo fulsa za nje

hivi kwamfano Mimi nataka kwenda Kenya na Sina NIDA Ina wezekana?

Hawajamaa niwapuuzi Sana. wanatuvutia mda Sana. wanajidai Sana. niwajinga Sana Kama nahiri atalifanya Nita shukuru sana🙏🙏🙏

... on you side for now"
 
Swala la NIDA limekosa utashi wa kichama, Ikulu, Bunge na Serikali, linahatari kubwa na umakini haupo ni hovyo sana, no body no body cares.
 
Swala la NIDA limekosa utashi wa kichama, Ikulu, Bunge na Serikali, linahatari kubwa na umakini haupo ni hovyo sana, no body no body cares.
Shida mkuu Lina chosha. linaleta uvivu Lina kwamisha maendeleo pia.
 
Shida mkuu Lina chosha. linaleta uvivu Lina kwamisha maendeleo pia.
Nchi hii hisia zangu ni kwamba kuna syndicate ambayo ipo na ipo kitambo na Ina mizizi mikubwa na mirefu haitaki jambo lolote lenye tija kubwa lifanikiwe.
 
Naunga mkono hoja,siku zote huwa napenda kukaa upande wa haki.
 
Back
Top Bottom