Kama vipi Wazanzibar wajiamini tu.Kinachotakiwa ni kujadili kuondoa umasikini Tanzania ila kila kukicha tukiamka na hoja za Muungano tutaendelea kuwa masikini na rasilimali tunazo...Umoja ni Nguvu Utengano ni Udhaifu.
Tanganyika haitishiki na ZanzibarFaida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu peke yetu.
Sasa hakuna tatizo kwa sababu tuneungana, lakini kama tungekuwa hatujaungana, eneo ilipo Zanzibar ingezuia muendelezo wa eneo hili. Umbali wa kutoka Pemba hadi Unguja, kuelekea mashariki baharini Km 320 za eneo la bahari tungepoteza.
Binafsi naona hiyo ndiyo faida ya Muungano kwa Tanganyika, faida kubwa sana.
Acha uwongo huo bado tutakuepo na eneo kubwa tuu bila hiyo Zanzibar . Coast ya Tanzania ina km nyingi za mraba tuna visiwa vingi Sana ikiwepo kikubwa ni mafia IslandFaida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu peke yetu.
Sasa hakuna tatizo kwa sababu tuneungana, lakini kama tungekuwa hatujaungana, eneo ilipo Zanzibar ingezuia muendelezo wa eneo hili. Umbali wa kutoka Pemba hadi Unguja, kuelekea mashariki baharini Km 320 za eneo la bahari tungepoteza.
Binafsi naona hiyo ndiyo faida ya Muungano kwa Tanganyika, faida kubwa sana.
Wakikusikia watasisimka ndevu Mkuu!!!Kama vipi Wazanzibar wajiamini tu.
Twende serikali moja.
Serikali mbili tu mnawabana hiyo serikali moja si itakua hatari hapo wenzetu wazanzibar wanaamini katika maisha bora kupata mahitaji muhimu na vitu vya matumizi kwa bei rafiki maana Kodi yao ni rafiki pia wakati bara wanaamini katika kukomoana yaani tv tuu ni starehe...Kama vipi Wazanzibar wajiamini tu.
Twende serikali moja.
Mbona huku bara wapo wanaishi tu kama sisi.Serikali mbili tu mnawabana hiyo serikali moja si itakua hatari hapo wenzetu wazanzibar wanaamini katika maisha bora kupata mahitaji muhimu na vitu vya matumizi kwa bei rafiki maana Kodi yao ni rafiki pia wakati bara wanaamini katika kukomoana yaani tv tuu ni starehe...
Unakaririshwa kanisaniSasa hivi Zanzibar Ni Kama mkoa wa Tanzania, ingekua sio muungano halafu ukawa mkoa wa Somalia/ au nchi ya kibeberu, huoni kwamba tungekua hatuna amani tuliyo nayo?