The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Simba haikustahili kuwa kumi bora kwa club rankings za CAF, haina kombe lolote wala mafanikio yoyote msimu huu inakuwaje ya 10?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda ni hakimu mzuri sana mkuu. Unaambiwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto, kipindi Simba inafanya vizuri walijisahau wakadhani ni haki yao kufanya vizuri japo haikuwa vzr sn kiviilee lkn kwa level zetu ilikuwa anafanya vzr, sasa Yanga anafanya vzr zaidi yao na sio kwa bahati mbaya bali kukubali madhaifu, kujipanga na kuthubutu.Ni rasmi sasa vichaka vyote vya kujifichia wana simba vimefyekwa[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]mwaka huu tunalo
Mbona Yanga katumia msimu mmoja tu kuwa juu ya Simba...Acha kuwa mbumbumbu unajiharibia Cv
ranks hazipimwi kwa kuchukua kombe msimu mmoja bali ndani ya miaka mitano nyuma umefanyanya nini Kwa maana makombe mangapi pia kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa mara kwa mara
next time ukiwa huna cha kuongea kaa kimya sio lazima upwayuke[emoji1424][emoji1424]
Marumo ana mafanikio gani nyumbani.Hizi takwimu kazitoa mzee mpili nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kwa kigezo cha yanga kuingia nusu ndio kumemfanya awepo hapo, ningetegemea kuwaona.
Marumo
Usm Alger
Asec mimosas kwenye kumi bora
So, unapingana na IFFHS kama mm ninavyopinga simba kuwa 10 bora?Sasa ndio pyramid wawe juu ya mamelod?[emoji23]huu ni mchongo tu
Kwa Simba amefika hapo kwa mafanikio ya msimu mmoja?Simba haikustahili kuwa kumi bora kwa club rankings za CAF, haina kombe lolote wala mafanikio yoyote msimu huu inakuwaje ya 10?View attachment 2622738
Well saidKwanza takkwimu zinaangalia USHINDI kila mechi point zinaongezeka
Zinaangalia kila hatua unayopiga pia
Na mafanikio yako ya nyuma yanaweza kukubeba kutokana na point zako za zamani
Mfano simba zamaleki Al ahly point zao za nyuma zimewabeba sana Ukiacha point zao za nyuma pia ushiriki wao klabu bingwa umewabeba ukishiriki klab bingwa point zinakuwa mara 2 ya shirikisho katika kuzidisha
Kuna mtu kasema kuhusu malumo
marumo hawakuwa na point yoyote ndio mana hukuwaona kumi bora
Kuhusu Yanga
Yanga kushinda mechi nyingi kumewabeba sana katika kujikusanyia POINT
na kuna anayelamika KUHUS
Aliyekudanganya Caf wanaangakia mafanikio ya nyumbani nani?😁😁 kweli manara hakukosea ile kauli yake.Marumo ana mafanikio gani nyumbani.
Kwnn Yanga yupo juu ya Simba?Al
Aliyekudanganya Caf wanaangakia mafanikio ya nyumbani nani?[emoji16][emoji16] kweli manara hakukosea ile kauli yake.
Mbona Yanga katumia msimu mmoja tu kuwa juu ya Simba...
Yanga anafanya vizuri kwenye nini?Muda ni hakimu mzuri sana mkuu. Unaambiwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto, kipindi Simba inafanya vizuri walijisahau wakadhani ni haki yao kufanya vizuri japo haikuwa vzr sn kiviilee lkn kwa level zetu ilikuwa anafanya vzr, sasa Yanga anafanya vzr zaidi yao na sio kwa bahati mbaya bali kukubali madhaifu, kujipanga na kuthubutu.
Kwani waliotoa takwimu ni CAF?Kwnn Yanga yupo juu ya Simba?
CAF wata update kupitia hiyo takwimu soon utake usitake.Kwani waliotoa takwimu ni CAF?
Si ni kishirika tu cha uchochoroni nenda Caf upate rank halisi