Binafsi napingana na takwimu za IFFHS

Binafsi napingana na takwimu za IFFHS

The best 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2019
Posts
41,015
Reaction score
93,277
Simba haikustahili kuwa kumi bora kwa club rankings za CAF, haina kombe lolote wala mafanikio yoyote msimu huu inakuwaje ya 10?
Screenshot_20230515-004956.jpg
 
Ni rasmi sasa vichaka vyote vya kujifichia wana simba vimefyekwa[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]mwaka huu tunalo
Muda ni hakimu mzuri sana mkuu. Unaambiwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto, kipindi Simba inafanya vizuri walijisahau wakadhani ni haki yao kufanya vizuri japo haikuwa vzr sn kiviilee lkn kwa level zetu ilikuwa anafanya vzr, sasa Yanga anafanya vzr zaidi yao na sio kwa bahati mbaya bali kukubali madhaifu, kujipanga na kuthubutu.
 
Acha kuwa mbumbumbu unajiharibia Cv
ranks hazipimwi kwa kuchukua kombe msimu mmoja bali ndani ya miaka mitano nyuma umefanyanya nini Kwa maana makombe mangapi pia kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa mara kwa mara

next time ukiwa huna cha kuongea kaa kimya sio lazima upwayuke✋🏽✋🏽
 
Acha kuwa mbumbumbu unajiharibia Cv
ranks hazipimwi kwa kuchukua kombe msimu mmoja bali ndani ya miaka mitano nyuma umefanyanya nini Kwa maana makombe mangapi pia kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa mara kwa mara

next time ukiwa huna cha kuongea kaa kimya sio lazima upwayuke[emoji1424][emoji1424]
Mbona Yanga katumia msimu mmoja tu kuwa juu ya Simba...
 
Hizi takwimu kazitoa mzee mpili nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama kwa kigezo cha yanga kuingia nusu ndio kumemfanya awepo hapo, ningetegemea kuwaona.

Marumo

Usm Alger

Asec mimosas kwenye kumi bora
Marumo ana mafanikio gani nyumbani.
 
Kwanza takkwimu zinaangalia USHINDI kila mechi point zinaongezeka
Zinaangalia kila hatua unayopiga pia
Na mafanikio yako ya nyuma yanaweza kukubeba kutokana na point zako za zamani
Mfano simba zamaleki Al ahly point zao za nyuma zimewabeba sana Ukiacha point zao za nyuma pia ushiriki wao klabu bingwa umewabeba ukishiriki klab bingwa point zinakuwa mara 2 ya shirikisho katika kuzidisha

Kuna mtu kasema kuhusu malumo
marumo hawakuwa na point yoyote ndio mana hukuwaona kumi bora

Kuhusu Yanga
Yanga kushinda mechi nyingi kufika nusu kumewabeba sana katika kujikusanyia POINT
 
Sasa ndio pyramid wawe juu ya mamelod?[emoji23]huu ni mchongo tu
 
Kwanza takkwimu zinaangalia USHINDI kila mechi point zinaongezeka
Zinaangalia kila hatua unayopiga pia
Na mafanikio yako ya nyuma yanaweza kukubeba kutokana na point zako za zamani
Mfano simba zamaleki Al ahly point zao za nyuma zimewabeba sana Ukiacha point zao za nyuma pia ushiriki wao klabu bingwa umewabeba ukishiriki klab bingwa point zinakuwa mara 2 ya shirikisho katika kuzidisha

Kuna mtu kasema kuhusu malumo
marumo hawakuwa na point yoyote ndio mana hukuwaona kumi bora

Kuhusu Yanga
Yanga kushinda mechi nyingi kumewabeba sana katika kujikusanyia POINT

na kuna anayelamika KUHUS
Well said
 
Mimi ni YANGA , lakini sikubaliani na hii list.

Lakini mashabiki wa Simba vumilieni, kwa sababu hiyo list hata last year ilikuwepo na mlishupaza shingo kwa kuifanya iwe fimbo ya kuichapia Yanga.

Sasa zamu yenu, kuimba ni kupokezana.
 
Muda ni hakimu mzuri sana mkuu. Unaambiwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto, kipindi Simba inafanya vizuri walijisahau wakadhani ni haki yao kufanya vizuri japo haikuwa vzr sn kiviilee lkn kwa level zetu ilikuwa anafanya vzr, sasa Yanga anafanya vzr zaidi yao na sio kwa bahati mbaya bali kukubali madhaifu, kujipanga na kuthubutu.
Yanga anafanya vizuri kwenye nini?
 
Back
Top Bottom