Elections 2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli


Umesahau na kumkata lowasa
Nakukamatwa kwa tume ya uchaguzi ya ukawa
 
Nalia kwa watu wengi waliopigwa na polisi kipindi chake!! pia nasema asante kwa kutuachia chuki za wenyewe kwa wenyewe+umaskin.asante sana
 

funga mwaka mkuu!dah!!
 
Siwezi kusherehekea kuingia kwa Magufuli kwa vile sijui anapotupeleka, 2005 nilifanya kosa la kusherehekea kuingia kwa Kikwete kitu ambacho leo nakijutia.
Quinine, nimependa mtazamo wako!
Ni wa mtu aliyekomaana na anayeelewa ni maana yakuwa na kiongozi bora na si bora kiongozi!
Kuna wanaosheherekea ila hata hawajielewi nini!!
 
Last edited by a moderator:
Nikwamba tumeishi miaka10 bila rais. Tuombe Mungu huyunaye asiwe garasa. Vinginevyo tutapiga 20 bila raisi.
Kikwete is not going no where. He will be behind the scenes making decisions for JM. He will still have the same power...hii imejionyesha wazi kwenye teuzi alizofanya hapa mwisho. It looks like JM anajua already, otherwise ingekuwa kwa kiongozi mwingine it would have been an insult. JK used all the powers to put JM now it is time for JM to return favor.
 

Haha JM hawezi kubatilisha maamuzi ya mtu aliyemzawadia uongozi without a sweat. Alichofanya ni kupiga pushup tu.
 
Nikikumbuka wale waliopandishwa vyeo baada ya lile tukio la Iringa, huwa nashindwa kabisa kumuelewa huyu mtu.
Tafadhali naomba utukumbushe hili tukio la Iringa, wengine hatukupata hii habari kipindi inaripotiwa. Ahsante.
 
Huyu jamaa ameturudisha nyuma Sana. Afadhali amemaliza muda wake
 
Sio hiyo tu, baada ya kubakiza siku 2 ofisini kaendelea kuteua maswahiba wake, ni juzi tu kateua m/kiti wa bodi ya wakurugenzi TTCL haya si matumizi mazuri ya ofisi halafu sio busara.

Vipindi viwili vya JK, alituingiza mkenge kwa kutufunika kwa blanketi lenye chawa wa maisha bora.
 
I concur with your narration 100% and I agree with you completely.

Nimekuwa nikiomba wiki nzima hii siku ya leo (kuapishwa Rais mpya) ije haraka na JK ajiendee zake awachie WaTanzania nchi yao na Ikulu yao. Najua ushindi wa Magufuli ni wa kimagumashi lakini potelea mbali kwani nililo liona ni bora huyo Magufuli aanze ngwe mpya na kama nchi tuwe na mwelekeo mpya.

Kwa kifupi JK ameidhalilisha sana Tanzania na WaTanzania wenyewe. Tanzania kama nchi imeishilia kupoteza mapato makubwa mno katika kipindi cha miaka 10 ya JK kupiga dili akiwa Ikulu. Hizi pesa ambazo zingeweza kubadilisha (transform) maisha ya mamillioni ya WaTanzania katika utoaji wa huduma za jamii. Tazama, lakini nyingi zimeishia katika mifuko yake binafsi na jamaa zake kwa kuendekeza bisha ya kupiga dili kwa miaka 10 akiwa Ikulu. What a waste of good of good 10 years as nation with a weak, dishonest and weird leader like JK? It's such a huge loss and disappointment!

Natumai Magufuli atakuwa mtu wa maono na ajipambanue 'yeye kama yeye' (His Own Man) kwa kuweka, kufanya maamuzi na kujenga mfumo wake mwenyewe badala ya kupelekeshwa na JK. Kwani akifanya mwenyewe na busara zake naamini atawagusa waTanzania walio wengi lakini akifundishwa mbinu na ujinga ujinga wa JK ataishia njiiani tu.
 
Sema roho zinawauma tu.

Mlijaribu kila hila kwa miaka 10, zote kapangua huku anacheka.
 

Huyu kawa describe vizuri sana:

 
Sema roho zinawauma tu.

Mlijaribu kila hila kwa miaka 10, zote kapangua huku anacheka.
Kati ya watu walioumia kuondoka kwa Kikwete ni pamoja na wewe, siku zote ulionekana kama zezeta kwa jinsi ulivyokuwa unamtetea.
 
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,

- Naachana na rais ambaye hakuwa serious kulingana na umuhimu wa ofisi yake,

Kwa kuwa aliwakaribisha chadema Ikulu kupiga juisi?
 

Leo anakuwacha una Gas cubic feet trillion 55.

Bila hizo safari zake ungeyapata hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…