PostGE2025 Binafsi nilifurahia Niffer kukamatwa, nilitamani apewe kifungo kirefu, hatimaye nimethibitisha nilikuwa sahihi

PostGE2025 Binafsi nilifurahia Niffer kukamatwa, nilitamani apewe kifungo kirefu, hatimaye nimethibitisha nilikuwa sahihi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Taarifa ya Niffer kukamatwa na kushtakiwa kesi ya uhaini niliifurahia.

Sikuwa upande wa watanzania waliokuwa wanampazia sauti atoke, hatimaye mawazo yangu nimethibitisha yalikuwa sahihi.

Huyu dada tangu atoke amekuwa mnafiki mnafiki sana na haswa aliwakera wananchi waliokuwa wanamuombea atoke maana baada ya kutoka amewasaliti na kumpamba mama Abduli.

Kiuhalisia hakupaswa kuongea maneno ambayo kimsingi yanaenda kinyume kwa wale waliokuwa wanampazia sauti na kumpamba yule ambaye alimtia matatizoni.

Tangu atoke amekuwa mtu wa attention sana maneno yote yanamtoka yeye kiasi kwamba anawakera waliokuwa wanampambania.

Watanzania kwa umoja wao kwa moyo mkunjufu walipanga kumpa sapoti kwenye biashara yake ili angalau kumtia nguvu, ila kwa yanayoendelea biashara zake zitaanza kumdodea soon

Ajiangalie sana.
 
Mbona hiyo ilitabiliwa kuwa madogo wataachiwa ila watapewa kazi ya kumpamba bi mkubwa?
 
Yani kaachiwa jana akiwa mweusi leo tu kaanza kuwa mweupe kama wewe.

adriz de mbusii
Hapana kawa mweupe kama matako yako maana nasikia machawa sikuizi mnajchubua matako ili kuwavutia zaidi wazee wa uteuzi wanavyowakamulia ndimu maana mnaotoa ndogo kwaajiri ya teuzi mshakuwa wengi sana
 
KUNA UBAYA GANI MTU KUKIRI KUFANYA MAKOSA NA KUWA BALOZI WA AMANI NA UPENDO . EMBU MUACHENI NIFFER AMSEMEE MEMA MWANAMKE MWENYE HESHIMA NCHINI KWETU. VIVA SAMIA , VIVA AMANI MILELE
 
Kumbuka huyo ni mtoto wa kike, na ametoka kwa maelekezo. Kwa akili ya kawaida yule yupo remoted. Tofautisha Niffer na Heche. Mbowe mwenyewe alipewa maelekezo akatii itakuwa Niffer?
Jamaa anachukulia poa usije yeye mwenyewe hawezi kuhimili mikiki ya interrogation chamber hata kwa sekunde.

Yeye mwenyewe hataki mzazi wake alie tena kama mwanzo
 
Kumbuka huyo ni mtoto wa kike, na ametoka kwa maelekezo. Kwa akili ya kawaida yule yupo remoted. Tofautisha Niffer na Heche. Mbowe mwenyewe alipewa maelekezo akatii itakuwa Niffer?
Daah mkuu ila nchi za kiafrika kuwa mwanaharakati na mpigania haki ni kazi sana... hapo unakuta maelekezo waliyompa ni kama hivi, ukihojiwa tu utaje vitu vitatu tu NAMSHUKURU MAMA SAMIA, NAMSHUKURU MUNGU, NAWASHUKURU WATANZANIA KWA KUNIOMBEA......,,,,

Hapo ameambia ukiongea nje hapo basi labda uongelee biashara zako, ukiongelea mambo ya kushtakiwa na kufungwa tutakudaka tena.
 
Heri angechagua kukaa tu kimya maisha yakaendelea!!

NB:Jela ukiingia kwa mara ya kwanza tena kesi nzito kama ile siyo mchezo heri yeye celeb!!

Hizo tako alikuwa anabinuka zinachunguliwa akiwa uchi ujue!!

Unajua kufungua kitabu???
 
Back
Top Bottom