Binafsi nimefurahi na kupenda sana Rais Samia Suluhu kukutana na Putin

Binafsi nimefurahi na kupenda sana Rais Samia Suluhu kukutana na Putin

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Kwema

Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele.

Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, Samia anaweza akatawala tena 2030 bila shaka.

Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya

Na ikiwa hivyo vitu vingi vitaenda sawa.

Kila la kheri kwenye uongozi wako mama SAMIA SULUHU- ubarikiwe.

IMG_9601.jpeg
 
Kwema

Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele

Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, samia anaweza akatawala tena 2030 bila shaka

Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya

Na ikiwa hivyo vitu vingi vitaenda sawa

Kila la kheri kwenye uongozi wako mama SAMIA SULUHU- ubarikiwe
Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu? Au sio?
 
"Tusiseme hatuna matatizo kwa kuyaficha matatizo yetu wenyewe. Ujasiri wa taifa hauko katika kuficha kasoro zake, bali katika kuzikubali na kuzitatua." Mwalimu J K Nyerere.
 
Mods kauliza ifutwe kwa kosa gani sijakuona ukimjibu

Naendelea kukukumbusha chuki itakuua
Hakuna anyekuchukia wewe punguza kujipa umuhimu usionao!
 
Back
Top Bottom