Kwema
Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele.
Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, Samia anaweza akatawala tena 2030 bila shaka.
Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya
Na ikiwa hivyo vitu vingi vitaenda sawa.
Kila la kheri kwenye uongozi wako mama SAMIA SULUHU- ubarikiwe.
View attachment 3601109
Wapende watu kwa mashaga watanzania wanataka maendeleo . Mama amerudisha nchi nyumba miaka zaidi ya 10