Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu? Au sio?Kwema
Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele
Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, samia anaweza akatawala tena 2030 bila shaka
Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya
Na ikiwa hivyo vitu vingi vitaenda sawa
Kila la kheri kwenye uongozi wako mama SAMIA SULUHU- ubarikiwe
Unafurahia kuishi kwa kuwaumiza wengine?Ukipata nafasi ishi
Hakuna anyekuchukia wewe punguza kujipa umuhimu usionao!Mods kauliza ifutwe kwa kosa gani sijakuona ukimjibu
Naendelea kukukumbusha chuki itakuua