Kwema
Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele.
Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, Samia anaweza akatawala tena 2030 bila shaka.
Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya
Na ikiwa hivyo vitu vingi vitaenda sawa.
Kila la kheri kwenye uongozi wako mama SAMIA SULUHU- ubarikiwe.
View attachment 3601109
Fanya hivo furaha yako itaongezeka zaidiSitumii
Nimegundua kumbe wewe ni namba E kwenye orodha ya chawa wa bi msumi humu JFKwema
Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele.
Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, Samia anaweza akatawala tena 2030 bila shaka.
Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya
Na ikiwa hivyo vitu vingi vitaenda sawa.
Kila la kheri kwenye uongozi wako mama SAMIA SULUHU- ubarikiwe.
View attachment 3601109
Inawezekana hata neno milele hujui maana yake.Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya