Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

Kufunga maana yake ni nini?!
Andiko gani linasema mfungue saa 12 za jioni?!
Kumbuka saa 12 jioni kwa mikoa ya Kigoma , Kagera na Rukwa hadi Mbeya na Ruvuma bado ni mchana kabisa, halafu mnasema sisi waislamu ndio walafi wakati nyinyi mnafungua mchana bado jua linawaka?! Ni andiko gani linawaambia mfungue saa 12?! Na ni andiko gani linakataza watu kula usiku ?! Kwani nyinyi Yesu aliwakataza kula DAKU?!
Kama kawakataza tuonyesheni andiko!
 
sio kwa hiari , wengi wanafanya kwa hofu , jamaa yang mwez huu anaenda msikitini

Hv mnahis mungu mjinga ? kuwa haoni kuwa mnaigiza
 
kufunga ni kujitolea kwa muumba na sio kubadili ratiba ya kula
 
kweny quran mafunzo mengi yamekaa kichochez
 
Kinachonifurahisha mwaka huu, mchana tunakula nao wengi tu, na jioni futari inawahi kuisha. Yaani wakati tunakula mchana mjuba anaweka order ya futari jioni
 
Nafikiri baada ya kujibiwa hili utataka andiko gani linasema tuvae viatu, suti, tule milo mitatu kwa siku...
 
Nafikiri baada ya kujibiwa hili utataka andiko gani linasema tuvae viatu, suti, tule milo mitatu kwa siku...
Hayo hayana uhusiano na ibada!
Na wagalatia haya mmeyataka wenyewe!
Mmekuwa mkianzisha mada za kuwakashifu waislamu kuwa ni waroho ambao badala ya kufunga wanabadili ratiba ya kula na kashfa nyingine nyingi tu!
Sasa jibuni maswali na msilete visingizio!
 
Waikristu wachache sana wanafungua yani katika kumi basi mmoja anafungana tena kwa mbinde sana
 
Sasa wewe una uchungu na mambo mengine, unaniingiza kwenye eneo ambalo sijasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…