Mister mimi
Member
- Apr 29, 2018
- 89
- 106
Huu ndio mchango wako kwenye mada iliyopo mezani?Uwe unaelewa. Unampotezea mida jamaa kwa ligi zisizo na msingi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio mchango wako kwenye mada iliyopo mezani?Uwe unaelewa. Unampotezea mida jamaa kwa ligi zisizo na msingi mkuu.
Funga ina kusudio moja ila kwa sasa show off ni tatizo sana...Hizo futari nyingi ni batili maana wanafuturisha kama kukuza urafiki ,walengwa ni watu maskini kabisa...Ninavyojua mimi wakristu hawatakiwi kufunga kama wanavyofanya waislam.Wakristu huwa wanatakiwa kujinyima ili kusaidia watu maskini au wenye uhitaji.Kwa mfano,kama mtu huwa anakunywa bia nne kwa siku anaweza kunywa mbili na pesa ya zile mbili aliyookoa anapeleka kwa maskini.
Kufuturu ni kufungua baada ya kufunga!Kwani kufuturu ni nini mkuu? Huoni hiyo ni kwa ajili ya kudumisha mahusiano mema japo haifuti ukweli mu waroho na waoga wa njaa na pia sio.kama mnafunga bali mnabadilisha muda wa kula. Baada ya kula mchana, mnakula usiku kucha mkuu huku mchana mnatunukisha midomo. 🤣🤣🤣
Usimind jamaa yangu. Nakutania tu kaka. Nyie mnafunga bwana.
Acha kujitesa na njaa funga ya mkristo haina malipoMtumishi wa Mungu Samson Ernest kuna huyu umat wa allah anauliza kama mnaweza vumilia njaa hata dakika 3? Najua FPCT hapo Singida Mjini mna mifungo mingi. Kuna ule wa kitaifa wa siku 21 kama ambao sisi TAG tunao wa kitaifa kwa siku 21 kila mwanzo wa Mwaka. Pia kuna mifungo ya kawaida ya kutaniko la mahali pamoja.
Ndugu yangu Lucha binafsi sasa nipo CBC hapa miuji Dodoma na nina funga kila wiki siku 3 kavu kuanzia Ijumaa hadi Jumapili jioni. Hata nikiwa natumia TAG kule GEITA huwa nafunga kavu 3 days lakini pia kuna mifungo ya masaa 12 na masaa 24.
Kufunga kwa mkristu ni kitu cha kawaida pale anapoamua kumnyenyekea na kumtafuta Mungu wake na mara nyingi hatujitangazi kama tumefunga. Kuanzia nikiwa kazini nilikuwa nafunga na kama wenzangu wanakula kazini mi nawaacha na kujitenga wakimaliza kula tunaendelea na kazi otherwise umeandika hii comment kwa mzaha tu mkuu.
Kafie mbali na kristo wenu?! Unataka na sisi tumfuate kristo ?! Sisi ni waislamu na funga zetu zinafuata misingi mitukufu ya Quran na Sunna za Mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم.Kristo anataka ukifunga ufanye kwa siri
Huko zenj jeWewe ulishawahi kupigwa kisa umekula hadharani au unaleta hadithi za Abunuasi?!
Mimi nipo Moshi mjini na ninafunga mimi na waislamu wengine, na hapa mama ntilie na migahawa kutwa nzima watu wanakula hadharani wala sisi hatuoni shida yoyote kwasababu dini yao inawaruhusu kula mchana kama watakavyo!
Sio migahawa tu bali hata vilabu vya walevi na bucha za nguruwe zinafanya kazi mchana wa Ramadhani wala hakuna muislamu anayelalamika wala kunung'unika!.
Sasa habari za kwamba sisi tukiona mtu anakula mchana tunaumia naona kama HADITHI ZA PAUKA PAKAWA!.
Wanabadilisha ratiba tu ya kula eti mtu anajidai kuwa akafunga. Aisee hakuna kirusi kibaya tulipandikiziwa waafrika Kama hizi dini za kuja na mashuaMimi najiuliza sasa kama unafunga usiku usiku unaamka kushindilia Ugali ya Nini?
Alafu Unashinda unajisifu Umefunga kweli?
Alafu najiuliza kwa Nini bei za vitu zinapanda kipindi cha mfungo wa ramadhani?
Utagundua wafanyabiashara waligundua kwamba bidhaa za vyakula utumika sana kipindi hicho.
Sasa kama tunafunga kwa Nini jioni misufuria machakula kibao ya Nini kama sio ulafitu. Yaani jioni ukakula na unafidia chai ya Asubui + CHAKULA cha mchana = hakuna funga hapo.
Mtume Alikua mwadilifu sana na Aliweka vizuri sana maana ya funga, unajinyima ili sehemu ya fedha uwasaidie waitaji.
Kwa maandiko gani katika Bible mmeamrishwa mfunge hivyo?Asante sana.sifa na utukufu ni Kwa Mungu.
Tena aliyekwambua sie mwisho kula sa tano usiku kakudanganya, hakuna mkristo anaefunga anakula usiku huo
Tukishafungua sa kumi na mbili wachache wanakula sa mbili kidogo basi mpk kesho tena
Mimi naongelea ustaarabu siongelei vitabu vya diniWakristo wanafunga kwa andiko gani katika Bible lililo wataka wafunge mchana na kufungua usiku?
Mimi sina dini lakini nawakubali wakristo japo wana mapungufu yao lakini yanavumilika. Wakristo wamevuka stage ya unyani kidogo ndio wanausogelea ubinadamu.
Wengine hawa wa alahu akbaru wameachwa mbali kiasi cha kukatisha tamaa.
Nimeangalia huko Syria alahu kwa alahu wanauana kikatili sana kitu ambacho hata nyani hawafanyi.
Mfano mwingine ukienda hepo Zanzibar alahu kafunga lakini akiona mtu mwingine akila anaona wivu hadi anaanzisha fujo. Huu sii uungwana hata kidogo
Dini ndio ilio leta swala la kumfunga Acha kijitia utahira usio zaliwa nao.Mimi naongelea ustaarabu siongelei vitabu vya dini
Aniambie nini ndugu msomaji?Ungeanza kumwambia ndugu yako mleta mada kwanza ,.
Acha uvivu wa kusoma maandikoTatizo unafananisha chaki na chizi, huenda vikafanana kimuonekano (zote zinaitwa ni funga) lakini ni vitu viwili tofauti.
Naomba kupata muongozo wa funga ya Kwaresma, kwani funga ya waislamu ni kutokula na kutokunywa na kujizuia na matamanio ya nafsi kuanzia Alfajiri mpaka kwa kuzama kwa jua.
Funga ni Siri ya mfungaji na MUNGU mwenyeweWe umefunga lakini au ndio mbwembwe tu..?
AinishaHapa utagundua Matatizo la Mleta Uzi
Barikiwa sana mkuuAsante sana.sifa na utukufu ni Kwa Mungu.
Tena aliyekwambua sie mwisho kula sa tano usiku kakudanganya, hakuna mkristo anaefunga anakula usiku huo
Tukishafungua sa kumi na mbili wachache wanakula sa mbili kidogo basi mpk kesho tena
Na wewe umekuja kuchangia kitu kwenye ujinga huuSiku hizi post za maana zimeisha, lengo la post yako ni kushindanisha funga au!!! Wakubwa sasa nyie, haya mambo ya kiuchizi hayafai, kama kweli umefunga kwaresma au yoyote Ile, ajuaye ni Mungu wako, sasa unafunga halafu unawasema wenzako kuwa hawana kitu, huo ni ujinga.
Kwani wewe uko zenji?Huko zenj je
Dini ipi na ipi?Mimi nimezungumzia wakristo,wewe unazungumzia watu wa dini gani nyingine?We ni kichwa maji Sasa huoni hizi ni dini mbili tofauti? Zingekua sawa c ingekua dini Moja