Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewaza kama mimi, yaani sina imani kabisa na jeshi la polisi. Hiyo kusema wamekuta maiti kwa waganga wa kienyeji ni kuhadaa umma. Ukweli task force ndio wanaofanya kazi hizo, na hao waliotajwa akina Mafwele nk ndio wahusika. Wanasema ni waganga wa kienyeji, lakini hutaona hao waganga wakifikishwa mahamani kwa kesi za mauaji.Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!
Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!
Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!!
sitarajii kufika popote........ lazima tufikiri kwa undani, na si kosa kufikiriUna kitu utafika mbali
exactly!Umewaza kama mimi, yaani sina imani kabisa na jeshi la polisi. Hiyo kusema wamekuta maiti kwa waganga wa kienyeji ni kuhadaa umma. Ukweli task force ndio wanaofanya kazi hizo, na hao waliotajwa akina Mafwele nk ndio wahusika. Wanasema ni waganga wa kienyeji, lakini hutaona hao waganga wakifikishwa mahamani kwa kesi za mauaji.
Ukk sahihi, ile sheria ya usalama wa taifa lengo lake lilikuwa kinga ya haya yanayofanyika sasa. Toka awali nilijua sheria ile itaashia kufanya haya yanayofanyika sasa.Wasiojulikana wangeweza kujulikana kuanzia ile 2017 had 2023.
Watanganyika mlichelewa hata ile act yao ilipofanyiwa marekebisho 2023 watu walikuwa busy na miso misondo.
Act ile imewapa sasa uhuru wa haya yafuatayo.
1.Kuripoti moja kwa moja kwa rais na sio kama awali kwa waziri husika na katibu mkuu kiongozi akiwa msimamizi wa oparesheni zao.
2.Sasa wanaruhusiwa kukamata ,kuhoji na kuchukua hatua zingine wanazoona zinastahili kwa tishio lolote [ikiwemo hata kuua]
3.Kinga ya mashtaka na kutotajwa majina /utambulisho wao wakiwa katika kutekeleza majukumu yao [hapa hata kama wanatekeleza matukio kwa amri haramu ndio biashara imeishia hivyo]
Je kwa haki hizo nzito hapo watu wanaanzaje kuwajua wasiojulikana??
Hapo matukio hayo ni mwaka huu vipi mwakani kukiwa na uchaguzi mkuu watu wamejiandaaje?
Mimi bado nina imani nguvu ya umma siku ikiamua hata hao nao wataungana nao maana hawawezi kuishinda nguvu ya umma ila ajabu nguvu ya umma sasa imewekeza kwenye kamari, dawa za nguvu za kiume,miziki, udaku , Simba na Yanga.
Una akili kubwa sana! Yaani mganga auwe watu halafu akawazike kwake? Kwamba alibeba maiti au aliwaita waende kwake akawaue?Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!
Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!
Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!!
Yani sheria km iyo inapita afu watu wanshangalia goli ka yanga kushind mamilioni ya mamahaya twende siku atakapotekwa mtt wa Pm ndo wataelewa kwamba raia wako seriousWasiojulikana wangeweza kujulikana kuanzia ile 2017 had 2023.
Watanganyika mlichelewa hata ile act yao ilipofanyiwa marekebisho 2023 watu walikuwa busy na miso misondo.
Act ile imewapa sasa uhuru wa haya yafuatayo.
1.Kuripoti moja kwa moja kwa rais na sio kama awali kwa waziri husika na katibu mkuu kiongozi akiwa msimamizi wa oparesheni zao.
2.Sasa wanaruhusiwa kukamata ,kuhoji na kuchukua hatua zingine wanazoona zinastahili kwa tishio lolote [ikiwemo hata kuua]
3.Kinga ya mashtaka na kutotajwa majina /utambulisho wao wakiwa katika kutekeleza majukumu yao [hapa hata kama wanatekeleza matukio kwa amri haramu ndio biashara imeishia hivyo]
Je kwa haki hizo nzito hapo watu wanaanzaje kuwajua wasiojulikana??
Hapo matukio hayo ni mwaka huu vipi mwakani kukiwa na uchaguzi mkuu watu wamejiandaaje?
Mimi bado nina imani nguvu ya umma siku ikiamua hata hao nao wataungana nao maana hawawezi kuishinda nguvu ya umma ila ajabu nguvu ya umma sasa imewekeza kwenye kamari, dawa za nguvu za kiume,miziki, udaku , Simba na Yanga.
Kazi ndio kwanza inaanza mpaka pale watu akili zikiwajia ndio wataelewa kuwa watu walikuwa wanajiandaa kwa yapi.Ukk sahihi, ile sheria ya usalama wa taifa lengo lake lilikuwa kinga ya haya yanayofanyika sasa. Toka awali nilijua sheria ile itaashia kufanya haya yanayofanyika sasa.
Hii Nchi imefika mahali pa hatari sana!Umewaza kama mimi, yaani sina imani kabisa na jeshi la polisi. Hiyo kusema wamekuta maiti kwa waganga wa kienyeji ni kuhadaa umma. Ukweli task force ndio wanaofanya kazi hizo, na hao waliotajwa akina Mafwele nk ndio wahusika. Wanasema ni waganga wa kienyeji, lakini hutaona hao waganga wakifikishwa mahamani kwa kesi za mauaji.
Hii ni picha nimeiona kwenye page za mitandao ya kijamii ya polisi wakisema lilikuwa zoezi la "kuwajengea uwezo" polisi, magereza , mgambo kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa .Una akili kubwa sana! Yaani mganga auwe watu halafu akawazike kwake?Kwamba alibeba maiti au aliwaita waende kwake akawaue?
Polisi Tanzania wanajua Watanzania mazezeta mno! wote mbofumbofu kichwani!
Hawa ndio kura halisi za ccm. Bila hawa ccm hawawezi kukaa madarakani.Hii ni picha nimeiona kwenye page za mitandao ya kijamii ya polisi wakisema lilikuwa zoezi la "kuwajengea uwezo" polisi, magereza , mgambo kuelekea uchaguzi mkuu.
Nilibaki nimeshangaa kwamba vyombo vya ulinzi na kupiga mapicha barabarani na kutisha watu ndio kujengwa uwezo?
Kuna nini wanajiandaa nacho kwenye uchaguzi ?
Mbona nchi zingine hata polisi huwaoni kabisa siku ya kupiga kura ni watu kupiga kura na kuendelea na majukumu yao huku hadi wengine wakipiga "absentee vote" bila wasiwasi .?
View attachment 3079878
Polisi ya Tz siyo ya kuamini hata kidogoNajaribu kufikiri kwa mapana na marefu!
Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!
Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!!
CCM imeharibu mifumo yoteHii Nchi imefika mahali pa hatari sana!
Mbona Zanzibar hakuna haya matukio?Kazi ndio kwanza inaanza mpaka pale watu akili zikiwajia ndio wataelewa kuwa watu walikuwa wanajiandaa kuwa yapi.
Wewe utakuwa ndie mganga mwenyewe wa kienyeji au wakili wa kutetea uovu wa wafanga wa kienyeji kujaribu kuficha uovu wao mtetezi wa waoNajaribu kufikiri kwa mapana na marefu!
Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!
Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!