Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!

Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!

Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
Umewaza vizuri
 
Umewaza kama mimi, yaani sina imani kabisa na jeshi la polisi. Hiyo kusema wamekuta maiti kwa waganga wa kienyeji ni kuhadaa umma. Ukweli task force ndio wanaofanya kazi hizo, na hao waliotajwa akina Mafwele nk ndio wahusika. Wanasema ni waganga wa kienyeji, lakini hutaona hao waganga wakifikishwa mahamani kwa kesi za mauaji.
Anaupiga mwingi anakufuta machozi
 
Anaupiga mwingi anakufuta machozi
Amfute nani machozi, au unadhani ndio dhalimu magu atageuka kuwa msafi? Dhalimu magu atabaki dhalimu na ibilisi tu, hata kama mama wa kambo ataanza kumuiga.
 
Back
Top Bottom