Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

Hii ni picha nimeiona kwenye page za mitandao ya kijamii ya polisi wakisema lilikuwa zoezi la "kuwajengea uwezo" polisi, magereza , mgambo kuelekea uchaguzi mkuu.

Nilibaki nimeshangaa kwamba vyombo vya ulinzi na kupiga mapicha barabarani na kutisha watu ndio kujengwa uwezo?

Kuna nini wanajiandaa nacho kwenye uchaguzi ?

Mbona nchi zingine hata polisi huwaoni kabisa siku ya kupiga kura ni watu kupiga kura na kuendelea na majukumu yao huku hadi wengine wakipiga "absentee vote" bila wasiwasi .?
View attachment 3079878
Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
 
Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!

Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!

Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
Kuna kuna taarifa gani huko?
 
Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!

Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!

Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
Hata mimi nafikiri hivyo hivyo. Wanajaribu kumkingia kifua Faustine na genge lake
 
Wewe utakuwa ndie mganga mwenyewe wa kienyeji au wakili wa kutetea uovu wa wafanga wa kienyeji kujaribu kuficha uovu wao mtetezi wa wao
Hao wajinga wa hivyo wameisha nchi hii, bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi huu uhayawani wa vyombo vya dola hauwezi kuisha.
 
Je hao wanao uwawa wana ikosoa serikali au ni layman kama Mimi? Siamini kama mtu asiye na madhara Kwa watawala anaweza kuuwawa na vyombo vya dola
uko sahihi, unless ni wizi au kama ile kesi ya wafanyabiashara wa madini wa Ifakara
 
Hii ni picha nimeiona kwenye page za mitandao ya kijamii ya polisi wakisema lilikuwa zoezi la "kuwajengea uwezo" polisi, magereza , mgambo kuelekea uchaguzi mkuu.

Nilibaki nimeshangaa kwamba vyombo vya ulinzi na kupiga mapicha barabarani na kutisha watu ndio kujengwa uwezo?

Kuna nini wanajiandaa nacho kwenye uchaguzi ?

Mbona nchi zingine hata polisi huwaoni kabisa siku ya kupiga kura ni watu kupiga kura na kuendelea na majukumu yao huku hadi wengine wakipiga "absentee vote" bila wasiwasi .?
View attachment 3079878
Hili jeshi linaendeshwa kwa woga wa CCM kuondolewa madarakani na upinzani
 
Wasiojulikana wangeweza kujulikana kuanzia ile 2017 had 2023.

Watanganyika mlichelewa hata ile act yao ilipofanyiwa marekebisho 2023 watu walikuwa busy na miso misondo.

Act ile imewapa sasa uhuru wa haya yafuatayo.

1.Kuripoti moja kwa moja kwa rais na sio kama awali kwa waziri husika na katibu mkuu kiongozi akiwa msimamizi wa oparesheni zao.

2.Sasa wanaruhusiwa kukamata ,kuhoji na kuchukua hatua zingine wanazoona zinastahili kwa tishio lolote [ikiwemo hata kuua]

3.Kinga ya mashtaka na kutotajwa majina /utambulisho wao wakiwa katika kutekeleza majukumu yao [hapa hata kama wanatekeleza matukio kwa amri haramu ndio biashara imeishia hivyo]

Je kwa haki hizo nzito hapo watu wanaanzaje kuwajua wasiojulikana??

Hapo matukio hayo ni mwaka huu vipi mwakani kukiwa na uchaguzi mkuu watu wamejiandaaje?

Mimi bado nina imani nguvu ya umma siku ikiamua hata hao nao wataungana nao maana hawawezi kuishinda nguvu ya umma ila ajabu nguvu ya umma sasa imewekeza kwenye kamari, dawa za nguvu za kiume,miziki, udaku , Simba na Yanga.
Ile sheria ya UWT haihusiki na huu uovu unaoendelea, akili yangu inaniambia hivyo.

Tatizo ni watu wachache ambao ni wafuasi wa aliyekalia kiti, wanaoamini kuwa wale wanaonena na kuandika mambo wanayoyapitia Watanzania kutokana na kutokuwa na uwezo kwa uongozi wa nchi, kuwa ni wahaini.

Akili na nafsi yangu inakataa kabisa kuamini kuwa haya yanayotendeka yana mkono wa moja kwa moja kutoka kwa mwenye kiti, japokuwa yeye hajayatolea hata tamko tuu la kulaani licha ya kwamba ana uwezo wa kukomesha.

Nimebahatika kuwa karibu na wasaidizi wengi wa "mwenye kiti" , ambao kwa ninavyowasikiliza, wanaona kabisa kiti kimepata mtu asiyeweza kukikalia vyema.

Na kutokana na hiyo aya ya hapo juu,ndipo akili yangu ikaniambia kuwa, inawezekana, na narudia tena, inawezekana kuna watu wanatumia nafasi zao katika kumuangusha mwenye kiti.

Kama Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa hamkubali aliyekalia kiti, ila akiwa naye anavyompamba utadhani wapo "sako kwa bako" naye, naamini kuna mtandao ambao unataka aliyekalia kiti aonekane ameshindwa (japo kiuhalisia ameshindwa bila hata kufanyiwa figisu).

Kwa wanaotaka kukalia kiti toka huko CCM, uwezekano wa kufanyika kwa hayo niliyoyaandika na zaidi ni mkubwa sana, ukizingatia muenendo wa CCM kwa miaka ya hivi karibuni.

Kwa kuwa Rais Samia anapita JF,namuomba kama Rais na kama mama, na kama ni Mcha Mungu kweli kama tulivyokuwa tunamjua kabla ya kuingia kwenye "serious politics za CCM", ayakatae haya maovu yanayoaminiwa kufanywa na vyombo vya dola vilivyo chini ya serikali yake.
 
Kuna Mtu nimekaa nae hapa pembeni anasemaj et ndio maana wanawachukuwa wenye division 4 au D mbili.
 
Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!

Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!

Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
Kitengo cha polisi ni wahuni.
Baada ya Mbowe kupiga kwenye mshono kume kuwa na jitihada kubwa sana ya polisi kupitia msemaji wao kujaribu kuhamisha hoja kwa kuja na stori za waganga. Tuna taka akanushe yale majina na namba za simu Mbowe alizo toa. Pia yale mabanzi kule Chang'ombe. Mbona mme bomoa??
 
Ile sheria ya UWT haihusiki na huu uovu unaoendelea, akili yangu inaniambia hivyo.

Tatizo ni watu wachache ambao ni wafuasi wa aliyekalia kiti, wanaoamini kuwa wale wanaonena na kuandika mambo wanayoyapitia Watanzania kutokana na kutokuwa na uwezo kwa uongozi wa nchi, kuwa ni wahaini.

Akili na nafsi yangu inakataa kabisa kuamini kuwa haya yanayotendeka yana mkono wa moja kwa moja kutoka kwa mwenye kiti, japokuwa yeye hajayatolea hata tamko tuu la kulaani licha ya kwamba ana uwezo wa kukomesha.

Nimebahatika kuwa karibu na wasaidizi wengi wa "mwenye kiti" , ambao kwa ninavyowasikiliza, wanaona kabisa kiti kimepata mtu asiyeweza kukikalia vyema.

Na kutokana na hiyo aya ya hapo juu,ndipo akili yangu ikaniambia kuwa, inawezekana, na narudia tena, inawezekana kuna watu wanatumia nafasi zao katika kumuangusha mwenye kiti.

Kama Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa hamkubali aliyekalia kiti, ila akiwa naye anavyompamba utadhani wapo "sako kwa bako" naye, naamini kuna mtandao ambao unataka aliyekalia kiti aonekane ameshindwa (japo kiuhalisia ameshindwa bila hata kufanyiwa figisu).

Kwa wanaotaka kukalia kiti toka huko CCM, uwezekano wa kufanyika kwa hayo niliyoyaandika na zaidi ni mkubwa sana, ukizingatia muenendo wa CCM kwa miaka ya hivi karibuni.

Kwa kuwa Rais Samia anapita JF,namuomba kama Rais na kama mama, na kama ni Mcha Mungu kweli kama tulivyokuwa tunamjua kabla ya kuingia kwenye "serious politics za CCM", ayakatae haya maovu yanayoaminiwa kufanywa na vyombo vya dola vilivyo chini ya serikali yake.
Kwa ufupi tu ni kuwa Samia hiyo nafasi anapwaya.

Hakuwahi kutarajia na hivyo hatoshi, kama ilivyokuwa kwa Magufuli nayo ilikuwa ni ajali ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom