Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu!

Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini!

Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
Umewaza vizuri
 
Anaupiga mwingi anakufuta machozi
 
Anaupiga mwingi anakufuta machozi
Amfute nani machozi, au unadhani ndio dhalimu magu atageuka kuwa msafi? Dhalimu magu atabaki dhalimu na ibilisi tu, hata kama mama wa kambo ataanza kumuiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…