Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Halafu nini kitafuata?Fanya kazi kwanza kiongozi
Tayari mbonaSubiri hadi utakapokuwa umethibitishwa kazini
Nimepanda mwaka juziKama umepanda daraja mwaka huu, hakuna nyongeza.[emoji736]
Hata mwenye vyeti tu bila ajira anacho cha kujivunia ambacho ni cheti.Tosheka na ulichonacho.
Hata mimi sijatosheka nimeongezewa hela ya NovidaHata mwenye vyeti tu bila ajira anacho cha kujivunia ambacho ni cheti.
Je, atosheke na vyeti vyake tu?
Kitaani hali ni ngumu madeni kila upande sio mchezo mkuuFanya kazi kwanza kiongozi