Joasi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 766 Reaction score 674 Jul 23, 2019 #1 Baharini. Direct kwenye maada,Ni kwa muda mrefu sana nikimsikia Mh Rais wetu.kueleza Watanzania ni wanyonge na baadhi ya matamko yake yakionyesha dhahili Anamaanisha sisi ni Wanyonge . Nitoe rai yangu kwake. Binafsi mimi SIO mnyonge. Elewa maanda ya mtu mnyonge.
Baharini. Direct kwenye maada,Ni kwa muda mrefu sana nikimsikia Mh Rais wetu.kueleza Watanzania ni wanyonge na baadhi ya matamko yake yakionyesha dhahili Anamaanisha sisi ni Wanyonge . Nitoe rai yangu kwake. Binafsi mimi SIO mnyonge. Elewa maanda ya mtu mnyonge.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jul 23, 2019 #2 Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake apewe...
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Jul 23, 2019 #3 Jukwaa la Magari na kamusi(wanyonge) wapi na wapi boss?