Binafsi sikubaliani na neno mnyonge.

Binafsi sikubaliani na neno mnyonge.

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
674
Baharini.

Direct kwenye maada,Ni kwa muda mrefu sana nikimsikia Mh Rais wetu.kueleza Watanzania ni wanyonge na baadhi ya matamko yake yakionyesha dhahili Anamaanisha sisi ni Wanyonge .

Nitoe rai yangu kwake.

Binafsi mimi SIO mnyonge.

Elewa maanda ya mtu mnyonge.
Screenshot_20190723-150129_Chrome.jpeg
 
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake apewe...
 
Jukwaa la Magari na kamusi(wanyonge) wapi na wapi boss?
 
Back
Top Bottom