Joasi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 766
- 674
Baharini.
Direct kwenye maada,Ni kwa muda mrefu sana nikimsikia Mh Rais wetu.kueleza Watanzania ni wanyonge na baadhi ya matamko yake yakionyesha dhahili Anamaanisha sisi ni Wanyonge .
Nitoe rai yangu kwake.
Binafsi mimi SIO mnyonge.
Elewa maanda ya mtu mnyonge.