GE2025 Binafsi sioni kutakuwa na maandamano Kama inavyozungumziwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,969
Reaction score
27,446
Ukiangalia vizuri maandamano Kama vile yamekaa kichama zaidi kuliko kitaifa hata ukisikia anayehamasisha uhusisha Chadema kama Chama cha upinzani usikii wakiungamisha makundi yote kwa pamoja ndio maana Kuna wengine hawayatolei uzito au kuhamasika kuunga mkono.

Ukiangalia sehemu nyingi ambazo kumetokea maandamano mfano huko Kenya, Morocco na sehemu nyingine nyingi wameweza kufanikiwa ni kwa sababu ya umoja wa wananchi kuunganisha nguvu zao kwa pamoja bila kujali itikadi zao za siasa au dini zao
 
Kwa sasa huwezi kuona. Ila siku husika itakapofika, ndiyo utaona. Hayo maandamano yameitishwa na vijana wa Gen Z! CHADEMA na wadau wengine wapenda mabadiliko, wapo tu kuangalia kitakacho tokea siku hiyo.
 
Ukiangalia vizuri maandamano Kama vile yamekaa kichama zaidi kuliko kitaifa hata ukisikia anayehamasisha uhusisha Chadema kama Chama cha upinzani usikii wakiungamisha makundi yote kwa pamoja ndio maana Kuna wengine hawayatolei uzito au kuhamasika kuunga mkono.

Ukiangalia sehemu nyingi ambazo kumetokea maandamano mfano huko Kenya, Morocco na sehemu nyingine nyingi wameweza kufanikiwa ni kwa sababu ya umoja wa wananchi kuunganisha nguvu zao kwa pamoja bila kujali itikadi zao za siasa au dini zao
Punguza ubinafsi
FB_IMG_1759557878308.jpg
 
Kama wakuu wanaona kuna haja ya kudhibiti inakuwaje usione kuna kitu kikubwa kinaenda kutokea . Majeshi yapo yanafanya mazoezi . Kikawaida haya ambayo hayana kiongozi ni mabaya Sana kuliko yanayoongozwa
 
Back
Top Bottom