Kifupi maandamano hakuna!Kwa sasa huwezi kuona. Ila siku husika itakapofika, ndiyo utaona. Hayo maandamano yameitishwa na vijana wa Gen Z! CHADEMA na wadau wengine wapenda mabadiliko, wapo tu kuangalia kitakacho tokea siku hiyo.
Punguza ubinafsiUkiangalia vizuri maandamano Kama vile yamekaa kichama zaidi kuliko kitaifa hata ukisikia anayehamasisha uhusisha Chadema kama Chama cha upinzani usikii wakiungamisha makundi yote kwa pamoja ndio maana Kuna wengine hawayatolei uzito au kuhamasika kuunga mkono.
Ukiangalia sehemu nyingi ambazo kumetokea maandamano mfano huko Kenya, Morocco na sehemu nyingine nyingi wameweza kufanikiwa ni kwa sababu ya umoja wa wananchi kuunganisha nguvu zao kwa pamoja bila kujali itikadi zao za siasa au dini zao
PointMaandamano ya kuleta mageuzi au ukombozi huwa hayapangiwi tarehe....
Hapo ndio walipofeli.....