Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and 2 Pac
Hayo maneno haya yamebabe sababu kubwa sana kwanini hutakiwi kuua au kuombea kifo mtu yeyote
Tracking Tundu lissu au Mbowe au Mnyika au Msigwa au mtu yoyote kama Usalama wa nchi wakihisi kuna dalili mbaya Binafsi sioni shida na hili linafanyika Nchi nyingi sana ingawa ni kinyume na sheria
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
Tatizo ni kuonekana uhai wa mtu unataka kuchuliwa ndicho kitu ambacho kilinisikitisha sana ingawa inawezekana tunaye muhisi kuwa alihusika na tukio anaweza asiwe mwenyewe.
Kwenye Siasa kila kitu kinawezekana lakini ni vibaya sana kuamua hatima ya uhai wa mtu
Kuna uvumi huwa unasemwa kuwa CIA huwa wanawatrack FBI na kinyume chake ,hivyo hii issue iko kila sehemu kikubwa kuongeza security kwenye taarifa zetu hakuna mtandao wa simu unaweza zuia taarifa zisitoke tukiwa wakweli.