Binafsi sishangai kwa Tundu Lissu kuwa tracked, kinachonisikitisha na kunishangaza ni kwanini alipigwa risasi

..sio kweli.

..FBI au CIA hawawezi kumdukua, au kum-track, Donald Trump, au mpinzani wa serikali.

..Ni makosa. Na wakigundulika wamefanya hivyo hatua kali za kisheria huchukuliwa dhidi yao.
 
..sio kweli.

..FBI au CIA hawawezi kumdukua, waka on-track, Donald Trump, au mpinzani wa serikali.

..Ni makosa. Na wakigundulika wamefanya hivyo hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi yao.
Ficha ujinga wako
 
Madikiteita hawataki kupingwa. Magufuli alimuona Lisu kama threat kwa utawala wake. Alichoona kinafaa ni kumuua, na Mungu akaliua leyewe. johnthebaptist
Saihisha hapo ulipoweka jina la Magufuli (RIP . Aha hizo jaziba, na hizi jaziba zenu ndo zineatesa mpaka sasa kiasi kwamba wanchadema wote mnaonekana kama ni nyumbu. Haya mnayotendewa kwa sasa Shujaa ndiye anayatenda? Jaribu siku moja moja kuwa unatumia Kichwa chako vizuri, usiwe kama Nyumbu anayetumia kichwa chake Oversize kuchotea nyasi mdonomoni tu na si kufukilia .
 
..sio kweli.

..FBI au CIA hawawezi kumdukua, au kum-track, Donald Trump, au mpinzani wa serikali.

..Ni makosa. Na wakigundulika wamefanya hivyo hatua kali za kisheria huchukuliwa dhidi yao.
Sahihi
 
Kumpiga mtu risasi ilikuwa ndio Akili.ya Mwisho kabisa ya uwezo wa kufikiri ya waliompiga.

Kwenye mahakama wasingefua dafu, kumshitaki kwa jamii ilikuwa ngumu maana hakuna angewaamini.

Lakini pia Hofu ya Lissu kuwa Outspoken.
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…