Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake.
Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
kuna watu wanachukulia mziki serious sana niwaambie tu mziki ni swala la hisia hakuna mtu anakulazimisha kusikiliza lakini tunajua nyie mnaojidai wachaguzi mkiwa kwenye mapango mmejifungia nmaweka earphone mnasikiliza.
kitu cha hisia huwezi kipinga unaweza sema sisikilizi ili ikipigwa kimoyomoyo unaifurahia