Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Yeye mwenyewe hana adabu ya maandishi yake halafu anakerekwa na uandishi wa wengineWewe mbona umeandika โmademuโ
Nafikiri na wewe Uko kwenye levo hiyo hiyo ya hawo waandikao xaxa,ko,ndo,kabixa
Alafu hao wamejaa sana siku hizi, mi huwa najiuliza huko shuleni wanafundishwa nini? Kama Facebook huko wengi hawawezi kutofautisha r na l.Yeye mwenyewe hana adabu ya maandishi yake halafu anakerekwa na uandishi wa wengine
Ila wanaoandika xaxa,mologolo,mlembo wanakera kinyama
Tafuta rika yako brazaMada juu yahusika.
Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni.
Mara xax, Xmas, meme, ko n.k
Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika.
Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni?
Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na wanaume 4 kwa wakati mmoja.
Alafu hao wamejaa sana siku hizi, mi huwa najiuliza huko shuleni wanafundishwa nini? Kama Facebook huko wengi hawawezi kutofautisha r na l.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mlogolo unaijua ilipo..?๐Yeye mwenyewe hana adabu ya maandishi yake halafu anakerekwa na uandishi wa wengine
Ila wanaoandika xaxa,mologolo,mlembo wanakera kinyama
Kwa niaba ya mweka madaKo umeamuaje xasa?
*hivyo.Nikishaona ivo huwa tu najua nachat na likondoo