Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

Mkuu sio kosa lako, ukiona hivyo ujue umri unakutupa mkono.
Hizo wao kwa sasa ndio swaga zao, kikubwa tafuta wakubwa wenzio achana na hao watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi mtu akiandika hivyo vi shortcut au umkute dem Ana changanya harufi L na R stimu zina kata gafla .. haijalishi umri
 
Ukiona dem anaandika hivyo juwa unachat na kenge
 
Yeye mwenyewe hana adabu ya maandishi yake halafu anakerekwa na uandishi wa wengine

Ila wanaoandika xaxa,mologolo,mlembo wanakera kinyama
Mbulahati, Alusha, Tabola, Ilinga, halusi, kungulu hahaha
 
Anyway kwenye swala la L na R nahisi pia inategemea mkoa ambao mtu ametokea
Kwa waliotoka Mwanza, Shinyanga,Morogoro wengi hawajui the difference.
Huenda na walimu pia walichangia katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…