Binafsi upweke unatesa kinoma

Weekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.
Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea nae.
Hali ya upweke inanijia..

Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.

nahisi mimi na mtatizo.
Ww hausumbuliwi na upweke unasumbuliwa na upwiru pamoja na low self-esteem
Cha msingi jitie nguvu acha kuogopa wadada jipatie mmoja maisha yaende
Tofaut na hapo unamkaribisha magonjwa ya akili
 
Ww hausumbuliwi na upweke unasumbuliwa na upwiru pamoja na low self-esteem
Cha msingi jitie nguvu acha kuogopa wadada jipatie mmoja maisha yaende
Tofaut na hapo unamkaribisha magonjwa ya akili
Upweke, upwiru, yote ni majibu.
toka 2017, ninaishi pekee yangu.
Lazima hivo vitu vinipate
 
Hiyo ndo opportunity lako ya kuishia maisha matulivu yenye amani… After ruin your life Kuna siku utakuja ku-umiss huo wasaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…