Binafsi upweke unatesa kinoma

Binafsi upweke unatesa kinoma

Weekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.

Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye.

Hali ya upweke inanijia..

Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.

nahisi mimi na mtatizo.
Enzi zangu wasichana wa bar (Barmaid) walipata tabu sana!
 
Ukikuwa utajuwa upweke ni nini,wewe Bado hujakuwa,unaweza kuwa na watu lakini Bado ukawa mpweke,Kwa hiyo Hilo linaanza na wewe jinsi unavyochukulia mambo.
 
Ukikuwa utajuwa upweke ni nini,wewe Bado hujakuwa,unaweza kuwa na watu lakini Bado ukawa mpweke,Kwa hiyo Hilo linaanza na wewe jinsi unavyochukulia mambo.
Haya upweke ni nini?
 
Kiukweli inachosha, ila ndiyo hali nayopitia sasa nami.
 
Aloooh ogopa hyo hali mkuu mm piah upweke huwa unanisumbua sana hasa nikishaingia ghetto natamani hata ningekuwa na mdada wakunijali hta kwa kunitembelea tu ,nlkuwa na manzi ila tumeznguana.

Kuna demu nlmuona kanisani tena nkasema ikimpendeza Mungu nataka aje kuwa wife kbs ,nmepambana hadi nkapata mawasiliano yake na tungeweka appointment tukakutana mtoto kaniruka mita 100 ,ooh honestly let's just be friends naomba tuwe tu marafk wa kawaida aseeh nljua utani ila hadi leo bdo amekazia tuwe marafk tu na mbaya zaid hata kwenye huu urafki mm tu ndio nampgia Simu na hataki tuonane bas inanboa ndio nazd kuwa mpweke, feeling like am lost.

Mwanza nlkuwa naiona tamu mno ila huu upweke na kuzinguliwa na huyo manzi aktaka tuwe friends to naanza kuhisi uzto kuwa Mwanza.
Hii inanikuta na mimi inatesa sana
Halafu ukiingia humu mtandaoni unasikia wana wanasema mademu wengi mtaani ila sasa we unajiuliza mbona huwaoni hao wanawake 😁
 
Back
Top Bottom