Binafsi upweke unatesa kinoma

Weekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.

Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye.

Hali ya upweke inanijia..

Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.

nahisi mimi na mtatizo.
Enzi zangu wasichana wa bar (Barmaid) walipata tabu sana!
 
Ukikuwa utajuwa upweke ni nini,wewe Bado hujakuwa,unaweza kuwa na watu lakini Bado ukawa mpweke,Kwa hiyo Hilo linaanza na wewe jinsi unavyochukulia mambo.
 
Ukikuwa utajuwa upweke ni nini,wewe Bado hujakuwa,unaweza kuwa na watu lakini Bado ukawa mpweke,Kwa hiyo Hilo linaanza na wewe jinsi unavyochukulia mambo.
Haya upweke ni nini?
 
Kiukweli inachosha, ila ndiyo hali nayopitia sasa nami.
 
Hii inanikuta na mimi inatesa sana
Halafu ukiingia humu mtandaoni unasikia wana wanasema mademu wengi mtaani ila sasa we unajiuliza mbona huwaoni hao wanawake 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…