Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

Amesema kweli "we need to change our think tanks?" Hizi lugha kweli zina wenyewe. Kwa mtu mwenye mapenzi na Chadema anashindwa hata kutoa tamko kuzungumzia wale ambao wamekuwa wakimatwa na kuwekwa ndani kila kukicha? Au anakaa kimya kwa sababu anaona wanatendewa haki?
Kitu kibaya zaidi kwake ni kuwa hakuna atakayekwazika kwa matamshi yake. Watu wameishamjua.

Amandla...
 
Nenda kawashauri CCM waache kutumia Polisiccm kukandamiza demokrasia kawambie CCM upinzani upo kwa mujibu wa katiba waache kuwabambikia kesi, waache kuwatumia Polisiccm kwenda kuwapekua majumbani mwao kwa njia haramu za kishetani
 
CHADEMA toka waanze kampeni za Diamond na Burnaboy niliwavua nyota. Tofauti yao na wasanii wetu ni uwanja wa kufanyia kiki ila wote wanategemea kiki. Nipo Tengeru Arusha, kata ya Akheri njooni mniuwe.
Tegemea kiki kivipi? Kwani kazi ya upinzani ni nini? Usiwapangie wapinzani wakosoe nini, kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya CCM kwa mapungufu yake yote kuanzia kiki mpaka madogo makubwa vyote vyenye mapungufu wanakosoa ikiwemo hiyo Tabia yenu mbovu ya kuwabambikia kesi za ugaidi
 
Lisha ya magufuli na Bashite kuwa na roho mbaya kipimo cha Elibashiri Bokasa hawakuwa wakifanya kama haya ya sasa dhidi ya chadema
 
Tegemea kiki kivipi? Kwani kazi ya upinzani ni nini? Usiwapangie wapinzani wakosoe nini, kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya CCM kwa mapungufu yake yote kuanzia kiki mpaka madogo makubwa vyote vyenye mapungufu wanakosoa ikiwemo hiyo Tabia yenu mbovu ya kuwabambikia kesi za ugaidi
Amen waendelee hivyo hivyo Katiba Movement now is gone. Haikua na misingi imara wamekurupuka sasa hivi wanacheza mziki wa ugaidi wa Mbowe which I know atashinda kesi na by the time wanashinda hiyo kesi watashangilia ushindi, kitu ambacho CCM ndio wanataka kuprove kua everything in Tanzania ni okay including Justice System.

Sasa hao CHADEMA waendelee na kiki zao tu pasi na kua na strategies za kujumuisha Watanzania wote na CCM will provide them with a topic every now and then to buy time na kuwatoa kwenye reli.
 
Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC

Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi naendelea kusisitiza tusikurupuke.

Najua mtasema natetea CCM kwasababau ya Ubunge wa Hawa, lakini mimi nashauri kwasababu ya mapenzi yangu kwa CHADEMA, Mama Samia kasema kuna Uhuru wa Habari, Baada ya Uchaguzi tujenge Nchi, Kesi ya Mbowe ilikuwepo lakini upelelezi haukuwa umekamilika, pengine ndio sababu ya Mwenyekiti kuwa nje.

Kati ya hayo aliyosema lipi la uongo? Kuna Vyombo vya Habari vilivyofungiwa Tanzania? Hapana. Wote humu tunajua kwamba ni kweli kesi ya Mbowe ilikuwepo, sio ya sasa, amesema uongo hapo? Hapana. Kuhusu hili la kujenga Nchi sisi CHADEMA ndio tunalichelewesha kwa migogoro isiyoisha. Sasa kama ukweli ni huu, tunataka kumjibu nini?

Imekuwa ni kawaida sana kwa Chama chetu kucheza ngoma ya CCM, Hivi kweli leo sisi CHADEMA ndio wakutaka Rais aingilie uhuru wa mahakama? Tatizo tulilolipigia kelele enzi za Mwendazake, tunataka lirudi tena, Tumehubiri Utawala wa Sheria na Uhuru wa Mahakama kwa miaka 6 halafu ndani ya miezi minne ya Samia tunataka kubadili gia angani kwa kushinikiza huyu Mama kuingilia Mahakama?

Maamuzi ya Mahakama hayapaswi kuingiliwa na Rais, Mama Samia kasema Issue ya Mwenyekiti ipo mahakamani, hawezi kuiingilia Mahakama, Kauli hiyo ina shida gani? Hatuoni kama kutaka aingilie Mahakama ni kutaka avunje Katiba? Kwanini tudai katiba Mpya kwa kuvunja Katiba ya Sasa? This is not right, I am sorry guys kama nitawakwaza lakini we really need to change our think tanks.

Sio kila kitu cha kujibu, tusijichoreshe, Chama kimestuck kama Tekno, hakuna kazi nyingine zinazoendelea, CHADEMA ni MSINGI hatujui hata Documents ziko wapi, Sera mbadala ishakuwa Zilipendwa, Mwenyekiti kuwa mahabusu siku 20 Chama kimeparalaizi kabisa, Hivi kweli Siku Mbowe akitoka CHADEMA, chama kitabaki hai?

Makamu Mwenyekiti Kaka yangu Lissu toka huko Ulipo, tunakuhitaji uwanjani, Maria Space na Clubhouse ni vijiwe vya story tu, havina maajabu, Lema anasema watu wasinywe bia, wasinywe maji ya kunywa, wasile hotelini, Yaani kweli huu ndio mkakati wa Chama kikuu cha upinzani? Kama tuko serious, Tusiwe na mipango unrealistic kama huu wa kaka yangu wa Canada.

Lema unasema hayo kutokea Canada, labda nikuulize, tukigomea maji huku Tanzania ili Serikali ikose pesa, Wewe na familia yako huko Canada mtagomea nini ili Serikali ya Tanzania ikose pesa? Au nyie mtaendelea kuishi kama kawaida wakati sisi tukiisoma namba kwa kugomea Dawasco huku? Bro kaa chini ufikirie tena wazo lako.

Narudia kushauri, tuachane na press za kila siku, Kama tunataka Mbowe atoke tukubali kwamba propaganda za Twita haziwezi kubadili kilichoandikwa kwenye Hati ya Mashtaka, tuna wanasheria wazuri, wasimame na Mwenyekiti, tuache sanaa.

Yangu ni hayo kwa leo, Samahani kwa watakaokwazika. Tusipoambiana ukweli Chama kitakufa.

Rais ndiye aliyewaapisha majaji na majaji wakaapa watamtii, kwa kutambua hivyo Rais hatakiwi kabisa kuzungumzia kesi yoyote iliyo mahakamani, Rais anapodai Mbowe alitoroka tayari ameweka ushawishi kwa Polisi na Mahakama kwamba Mbowe alikuwa anaikimbia kesi yake, kwa kifupi tangu mwezi wa tisa mwaka jana mpaka sasa mwezi wa nane ni mwaka mzima Mbowe akiwa mafichoni! Rais anatakiwa kukumbushwa kuwa si lazima kujibu au kufafanua kila anachoulizwa.
 
Bananga ndio muono mpana na kamanda wa kweli sana. Bahati mbaya siku hizi tuna siasa mbovu na ujinga wa kutisha! Think tanks za akina Lema? Oh nooo ....
 
Kweli Kaka naona umeamua kusimama na Mke wako, endelea kupambana kiongozi kwani poso za ubunge ni sana hata katika kipindi hiki ambacho wanaume wengi kama wewe tunategemea ada za shule za watoto wetu, nyumba na mafuta ya gari zigharamiwe na wake zetu.
Umemjibu hoja gani? Mnaua chama kipumbavu sana ..
 
Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC

Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi naendelea kusisitiza tusikurupuke.

Najua mtasema natetea CCM kwasababau ya Ubunge wa Hawa, lakini mimi nashauri kwasababu ya mapenzi yangu kwa CHADEMA, Mama Samia kasema kuna Uhuru wa Habari, Baada ya Uchaguzi tujenge Nchi, Kesi ya Mbowe ilikuwepo lakini upelelezi haukuwa umekamilika, pengine ndio sababu ya Mwenyekiti kuwa nje.

Kati ya hayo aliyosema lipi la uongo? Kuna Vyombo vya Habari vilivyofungiwa Tanzania? Hapana. Wote humu tunajua kwamba ni kweli kesi ya Mbowe ilikuwepo, sio ya sasa, amesema uongo hapo? Hapana. Kuhusu hili la kujenga Nchi sisi CHADEMA ndio tunalichelewesha kwa migogoro isiyoisha. Sasa kama ukweli ni huu, tunataka kumjibu nini?

Imekuwa ni kawaida sana kwa Chama chetu kucheza ngoma ya CCM, Hivi kweli leo sisi CHADEMA ndio wakutaka Rais aingilie uhuru wa mahakama? Tatizo tulilolipigia kelele enzi za Mwendazake, tunataka lirudi tena, Tumehubiri Utawala wa Sheria na Uhuru wa Mahakama kwa miaka 6 halafu ndani ya miezi minne ya Samia tunataka kubadili gia angani kwa kushinikiza huyu Mama kuingilia Mahakama?

Maamuzi ya Mahakama hayapaswi kuingiliwa na Rais, Mama Samia kasema Issue ya Mwenyekiti ipo mahakamani, hawezi kuiingilia Mahakama, Kauli hiyo ina shida gani? Hatuoni kama kutaka aingilie Mahakama ni kutaka avunje Katiba? Kwanini tudai katiba Mpya kwa kuvunja Katiba ya Sasa? This is not right, I am sorry guys kama nitawakwaza lakini we really need to change our think tanks.

Sio kila kitu cha kujibu, tusijichoreshe, Chama kimestuck kama Tekno, hakuna kazi nyingine zinazoendelea, CHADEMA ni MSINGI hatujui hata Documents ziko wapi, Sera mbadala ishakuwa Zilipendwa, Mwenyekiti kuwa mahabusu siku 20 Chama kimeparalaizi kabisa, Hivi kweli Siku Mbowe akitoka CHADEMA, chama kitabaki hai?

Makamu Mwenyekiti Kaka yangu Lissu toka huko Ulipo, tunakuhitaji uwanjani, Maria Space na Clubhouse ni vijiwe vya story tu, havina maajabu, Lema anasema watu wasinywe bia, wasinywe maji ya kunywa, wasile hotelini, Yaani kweli huu ndio mkakati wa Chama kikuu cha upinzani? Kama tuko serious, Tusiwe na mipango unrealistic kama huu wa kaka yangu wa Canada.

Lema unasema hayo kutokea Canada, labda nikuulize, tukigomea maji huku Tanzania ili Serikali ikose pesa, Wewe na familia yako huko Canada mtagomea nini ili Serikali ya Tanzania ikose pesa? Au nyie mtaendelea kuishi kama kawaida wakati sisi tukiisoma namba kwa kugomea Dawasco huku? Bro kaa chini ufikirie tena wazo lako.

Narudia kushauri, tuachane na press za kila siku, Kama tunataka Mbowe atoke tukubali kwamba propaganda za Twita haziwezi kubadili kilichoandikwa kwenye Hati ya Mashtaka, tuna wanasheria wazuri, wasimame na Mwenyekiti, tuache sanaa.

Yangu ni hayo kwa leo, Samahani kwa watakaokwazika. Tusipoambiana ukweli Chama kitakufa.

Kwa akili ya huyu bananga anapaswa kuwa CCM kitambo sana tuijenge nchi,ukweli unauma sana ,huyu ndugu nimsema kweli na mpenzi wa Mungu
 
Kweli Kaka naona umeamua kusimama na Mke wako, endelea kupambana kiongozi kwani poso za ubunge ni sana hata katika kipindi hiki ambacho wanaume wengi kama wewe tunategemea ada za shule za watoto wetu, nyumba na mafuta ya gari zigharamiwe na wake zetu.
Huyu aanze kuvaa skin tight
 
Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC

Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi naendelea kusisitiza tusikurupuke.

Najua mtasema natetea CCM kwasababau ya Ubunge wa Hawa, lakini mimi nashauri kwasababu ya mapenzi yangu kwa CHADEMA, Mama Samia kasema kuna Uhuru wa Habari, Baada ya Uchaguzi tujenge Nchi, Kesi ya Mbowe ilikuwepo lakini upelelezi haukuwa umekamilika, pengine ndio sababu ya Mwenyekiti kuwa nje.

Kati ya hayo aliyosema lipi la uongo? Kuna Vyombo vya Habari vilivyofungiwa Tanzania? Hapana. Wote humu tunajua kwamba ni kweli kesi ya Mbowe ilikuwepo, sio ya sasa, amesema uongo hapo? Hapana. Kuhusu hili la kujenga Nchi sisi CHADEMA ndio tunalichelewesha kwa migogoro isiyoisha. Sasa kama ukweli ni huu, tunataka kumjibu nini?

Imekuwa ni kawaida sana kwa Chama chetu kucheza ngoma ya CCM, Hivi kweli leo sisi CHADEMA ndio wakutaka Rais aingilie uhuru wa mahakama? Tatizo tulilolipigia kelele enzi za Mwendazake, tunataka lirudi tena, Tumehubiri Utawala wa Sheria na Uhuru wa Mahakama kwa miaka 6 halafu ndani ya miezi minne ya Samia tunataka kubadili gia angani kwa kushinikiza huyu Mama kuingilia Mahakama?

Maamuzi ya Mahakama hayapaswi kuingiliwa na Rais, Mama Samia kasema Issue ya Mwenyekiti ipo mahakamani, hawezi kuiingilia Mahakama, Kauli hiyo ina shida gani? Hatuoni kama kutaka aingilie Mahakama ni kutaka avunje Katiba? Kwanini tudai katiba Mpya kwa kuvunja Katiba ya Sasa? This is not right, I am sorry guys kama nitawakwaza lakini we really need to change our think tanks.

Sio kila kitu cha kujibu, tusijichoreshe, Chama kimestuck kama Tekno, hakuna kazi nyingine zinazoendelea, CHADEMA ni MSINGI hatujui hata Documents ziko wapi, Sera mbadala ishakuwa Zilipendwa, Mwenyekiti kuwa mahabusu siku 20 Chama kimeparalaizi kabisa, Hivi kweli Siku Mbowe akitoka CHADEMA, chama kitabaki hai?

Makamu Mwenyekiti Kaka yangu Lissu toka huko Ulipo, tunakuhitaji uwanjani, Maria Space na Clubhouse ni vijiwe vya story tu, havina maajabu, Lema anasema watu wasinywe bia, wasinywe maji ya kunywa, wasile hotelini, Yaani kweli huu ndio mkakati wa Chama kikuu cha upinzani? Kama tuko serious, Tusiwe na mipango unrealistic kama huu wa kaka yangu wa Canada.

Lema unasema hayo kutokea Canada, labda nikuulize, tukigomea maji huku Tanzania ili Serikali ikose pesa, Wewe na familia yako huko Canada mtagomea nini ili Serikali ya Tanzania ikose pesa? Au nyie mtaendelea kuishi kama kawaida wakati sisi tukiisoma namba kwa kugomea Dawasco huku? Bro kaa chini ufikirie tena wazo lako.

Narudia kushauri, tuachane na press za kila siku, Kama tunataka Mbowe atoke tukubali kwamba propaganda za Twita haziwezi kubadili kilichoandikwa kwenye Hati ya Mashtaka, tuna wanasheria wazuri, wasimame na Mwenyekiti, tuache sanaa.

Yangu ni hayo kwa leo, Samahani kwa watakaokwazika. Tusipoambiana ukweli Chama kitakufa.

Unastahili kuwa

Binamu ni kichwa. Siyo hao akina Mbowe na Lissu waliofirisika kisiasa na kubakiwa na mikakati ya kigaidi tu
 
Chadema ikikosolewa kihalali makamanda uchwara wanakuwa wakali kama pilipili kichaa.
 
Back
Top Bottom