Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

MIMI MWENYEWE NA GETTO NA SIJAWAHI VUSHA KWAIYO UNASEMAJE
 
Duh hiyo heading utasema paragraph 😇
 
Mimi ningeuliza direct Kona za Nini, huu ndio umbea Sasa
 
Unafanya mchezo na K ya msomi? Na akizubaa atatoka miaka mitatu bilabila.
 
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…