Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona, sijui kwanini?

Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona, sijui kwanini?

lckelvin

Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
94
Reaction score
128
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.

Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza, sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakati naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.

Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake, nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed hata hashtuki mpaka nimeanza kuhisi kuna kitu anatafuta kwangu.

Sijui nifanye nini wadau, msaada tafadhali.
 
Acha tamaa za kishamba hana mpango na wewe ilitokea tu bahati mbaya!!

Wewe kwa sababu unamtamani basi unahisi kama vile anakutega! Mtu analala na mumewe usiku kucha anapata yote anayotaka nini cha ziada anachohitaji?

Labda kama malaya wa kujiuza hapo sawa! Sema kama binamu yako ni malaya ndo tukuelewe!

La sivyo unamvunjia tu heshima na mihemko yako!!
 
Ondoka, rudi Dodoma ili kukwepa lakini, kama hutaki kukwepa endelea kukaa hapo. Halafu, mwanaume mzima unaendaje kwa binamu yako wa kike aliyeolewa eti kumtembelea? Huko kwa dada na binamu wa kike asiyeolewa au aliyeolewa watu uenda kwa shida tu!
 
Back
Top Bottom