Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Haa haa haa kwahiyo unataka kwenda kumshughulikia?Next time mpige picha unitumie pm.. nipe na location
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haa haa kwahiyo unataka kwenda kumshughulikia?Next time mpige picha unitumie pm.. nipe na location
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.
Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza, sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakati naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.
Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake, nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed hata hashtuki mpaka nimeanza kuhisi kuna kitu anatafuta kwangu.
Sijui nifanye nini wadau, msaada tafadhali.
Kutembeleana Sisi waTanzania ni nduguKwa watu mnaendaga kufanya nini!?
Siyo hawapendi wage ila hawapendi mizigo inayo watia galamaunaendaje kwa watu unakaa zaidi ya siku tatu? hujui watu wa Dar hawapendi wageni!? Rudi mkoani kwako