EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kuna mwehu mmoja huko anaandaa uzi wa kutushuhudia jinsi shangazi yake anavyokaa uchu kila akimuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga".Kwani wewe kwake kilikupeleka nini tuanzie hapo
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.
Haya sasa ..Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.
Wewe pita ukanye kinachokufanya ugeuze shingo hadi umwone chumbani kwake ni nini kama sio umbea.na anakufanyia makusudi ili uumoe vizuri kwa umbea wakoMimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.
Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza, sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakati naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.
Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake, nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed hata hashtuki mpaka nimeanza kuhisi kuna kitu anatafuta kwangu.
Sijui nifanye nini wadau, msaada tafadhali.
Naunga mkono hojaRudi kwenu
Na binamu ukute anasoma hapaNaunga mkono hoja