Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona, sijui kwanini?

Acha ujinga kwani kikaa uchi ndo akutake???
Watu tunsogelea uchi kwenye swiming pool za familia tukiwa wazima.
Tumenyoa vizuri shega tu!! Binamu yako hana mambo ya kishamba hayo.anaona ni sawa tu...

Wewe nikuonavyo ukienda jangwani sea bleeze utatumbulia vitumbua mimacho kodooo!! hutaogelea!
 
Ushasema Binamu
Ushasema anakaa uchi mbele yako
Ushasema karudia mara kadhaa

Unachotakiwa uelewe ni kwamba
Hizo ni jitihada za makusudi za kukueleza kiasi gani anakutaka na si kingine.

Vya kufanya;
Una machaguo mawili tu,
1. Uwe kama mimi, mambo ya binamu huwa sijiulizi mara mbili wala sitaki ushauri... Ni kuchomeka tu.

AU

2. Uwe kama nabii Yusuf (AS) kwa yule mke wa waziri wa farao. Ila Tofauti yako na Yusuf (AS) itakuwa ni kwamba yeye alikataa kutokana na Imani yake, ila wewe Itakuwa ni kutokana na Uoga wako, Uzandiki wako, Kukosa maamuzi kwako, na Ujinga wako personal.
 
Next time mpige picha unitumie pm.. nipe na location
 
Kwani wewe mutoto mudogo hujuwi kuwowa? Muwowe!
 
Hahahaa
 
Wewe ni shemeji yangu kabisa. Tangu umerudi Dodoma umekua na tabia ya kumchatisha mke wangu hadi usiku. Tafadhari huu uzi ntaupeleka kwenu ka kithibiti
 
Pita nae ww
 
Kukaa uchi kivipi fafanua.....

Au aliacha kichwa wazi, pengine ameacha mabega wazi,
au amefunga kanga moja?
 
1. Kevin mjini hapa kuna joto sana huwa hawajifuniki sana sasa kwa kuwa wewe ni binamu hauna madhara yoyote.
2. Tafuta kazi, kakate majani ya ngombe au uza miwa ukirudi umechoka hutamuona hata awe mtupu azunguke nyumba nzima. Baadae utapanga japo chumba ambacho hakina umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…